Big Red Boots, viatu vilivyotrend mtandaoni bei yake imefikia Tsh. Milioni 3.9

Big Red Boots, viatu vilivyotrend mtandaoni bei yake imefikia Tsh. Milioni 3.9

Narung'ombe sio Nalung'ombe.L na R,kwa nini mnashindwa kutofautisha?L mnaitaja R na R mnaitaja L.
[emoji12][emoji12]mkuu sasa mbona unakua mkali nakati mimi hapo nimepiga tuu screenshot?
Fungua tuu kama njaa imekaza boss Kuokoa hii hali sio dhambi.
 
657,000, bora hiyo hela nikale malaya.
Nimepita huko fb kwenye magroup yangu ya biashara nikakuta haya madumu yanauzwa,

Yalianzia huko NY na kule yanauzwa 2.3M, wabongo wameiga haya nahisi yanatengenezwa kama yebo kwa 630k..

Wanaita Big Reb Boots,
Fashion zitatuua vijana, kuna jamaa akasema anataka ma 3 ya rangi tofauti tofauti, Sasa ushaambiwa ni Red boots unataka rangi nyingne tena???View attachment 2577063
 
Hizi boots kama unataka kupaa vile za superman
 
Tusingeiga na kuboresha nadhani mataifa mengine yangekuwa yanatemeba Peku....

To each his/her own.....
 
Back
Top Bottom