Big Red Boots, viatu vilivyotrend mtandaoni bei yake imefikia Tsh. Milioni 3.9

Big Red Boots, viatu vilivyotrend mtandaoni bei yake imefikia Tsh. Milioni 3.9

Ukivaa hayo madudu unaweza ukatembea hata juu ya bahari.[emoji1787][emoji1787]
 
Nimepita huko fb kwenye magroup yangu ya biashara nikakuta haya madumu yanauzwa,

Yalianzia huko NY na kule yanauzwa 2.3M, wabongo wameiga haya nahisi yanatengenezwa kama yebo kwa 630k..

Wanaita Big Reb Boots,
Fashion zitatuua vijana, kuna jamaa akasema anataka ma 3 ya rangi tofauti tofauti, Sasa ushaambiwa ni Red boots unataka rangi nyingne tena???View attachment 2577063

Hahaha
 
Back
Top Bottom