Umeelewa lakini alichoandika Ulimwengu? Yaani baadhi yenu mkiona jina tu JPM matako hulia mbwaa! Kwa kifupi Ulimwengu anawalaamu wale wanaojitokeza sasa.kuchallenge aliyoyafanya Magu wakati walikuwa na nafasi ya kumwambia akiwa.hai. Kama anawaonya bora wakae kimya tu kwa sasa maana wanaongea kama miaka 5 ya JPM hawakuona mapungufuMbona wewe hukusema haya kipindi hicho??big shame to you
Mkuu..halafu Kuna ile ingine alipiga boko la nguvu.."kama siku ina masaa 48..."
Ulinzi alijiwekea yeye au system ndio inauweka?..angekuwa tayari kwa lolote asingejiwekea ULINZI wa kutisha namna ile.
..pia haiingii akilini ugonjwa ambao ameu-manage na kuuzoea kwa muda mrefu umchukue ghafla kiasi kile.
..Magu aliondoka kwa tukio lililomchukua kwa ghafla na ambalo lilikuwa juu ya uwezo wake, na most likely ni CORONA.
..wimbi la pili la corona lilipoingia alitakiwa akafichame CHATO, lakini yeye alianza kuzurura Dsm na Dodoma.
Halafu baada ya Corona kumchukua eti ikaisha? Si wangeumwa na wengine??Ni mjinga pekee ndo anaweza kuamini magufuli amekufa kwa Corona!!
But tujipe muda!!......
Muda husema yote
Magufuli alikuwa kichaa na katili wa kutisha, asante Mungu kwa kumuwahi kabla hajaangamiza watu wakoJPM alikuwa na matatizo ya moyo ya muda mrefu na alikuwa tayari kwa lolote lile.
Mzee Ulimwengu anajulikana kwa siasa zake za kuushambulia uongozi unaokuwa ikulu.
Kama busara zimejaa kichwani kwake angeachana na hizi mada za kumshambulia aliyekwisha maliza muda wake duniani.
Magufuli kashakufa. Hakuna anayeweza kumsymumbua.Baba wa watu si alishakufa jamani.?? Muacheni apumzike.
Yule dikteta hapaswi kulala, kama haya maneno yaweza kumzuia kulala inabidi tuzidishe. Madikteta wenzake wote hawalali, iweje yeye alale?Yaaani Mpaka Leo Wanae Tu, Si Wamempata Huyo Mama Wa Macho Ya Kulegea, Wadeal Nae wamwache Mzee Wawatu Alale Salama
System gani au ni uoga wake na matendo yake ndo yalikuwa yanamtisha!Ulinzi alijiwekea yeye au system ndio inauweka?
Bavicha inakuwaje hata jambo dogo hili unashindwa kuelewa?
Kwani corona imeisha huko kwenu Nanjilinji?Halafu baada ya Corona kumchukua eti ikaisha? Si wangeumwa na wengine??
Defensive mechanism!It won't help much of you if at all you can't munch the bitter piece of yarm!😂😂😂JPM alikuwa na matatizo ya moyo ya muda mrefu na alikuwa tayari kwa lolote lile.
Mzee Ulimwengu anajulikana kwa siasa zake za kuushambulia uongozi unaokuwa ikulu.
Kama busara zimejaa kichwani kwake angeachana na hizi mada za kumshambulia aliyekwisha maliza muda wake duniani.
Yaani bora Mungu alituokoa na hilo Jiwe, nchi ilifika pabaya sana. Sifa ziende kwa CoronaJENERALI kinachomkera ni namna watu walivyomiminika kumlilia JPM, alitegemea watu wasimzike vizuri shujaa wao.
Eti JPM alijiona IMMORTAL yaani mwenye kuweza kuishi milele, matusi mabaya hayo JENERALI. Ungemtendea haki JPM ungetafuta hata hotuba zake uka'quote' kama kweli alijimwamba kiasi hicho. JPM kwa taarifa yako alitamka mara nyingi mno kwamba maisha ni 'temporal' yanapita na ndo maana alijitahidi kutumia kila dakika ya maisha yake kuleta mabadiliko.
Hata hivyo kiuhalisia JPM wa macho ya rohoni ni 'IMMORTAL'. Mawazo yake bado yanaishi, kazi zake nzuri bado zinatunufaisha na misimamo yake bado inalitegemeza taifa hili.
JPM hajaishi kizembe na wala hajafa kizembe. Amekufa akiwa kazini, wewe ndugu yangu JENERALI ni LOOSER ndo maana G55 iliishia hivyo hivyo, huna legacy. Hata kumwandika JPM ili usomwe ni kwasababu ana jambo bado, he is BIG MAN. Kumbe hata akilini mwako hajafa na huenda unaogopa what if he comes back.
Tahadhari, unapoandika baya juu ya JPM kuwa na ubinadamu maana unawatia huzuni mke n.k.
Watu mna masihara, jiwe ni shujaa?Bado unaweweseka na kutoa mipovu kama vile unadegedege ya utotoni. Kwa taarifa yako legend ya jpm haiondolewi kwa kiwanda chenu cha matusi hapo ufipaniii. Zaidiii mnampaisha shujaaa.
Tatizo Jiwe alikuwa muovu sana, yaani ingebidi apigwe hata bakoraYaaani Mpaka Leo Wanae Tu, Si Wamempata Huyo Mama Wa Macho Ya Kulegea, Wadeal Nae wamwache Mzee Wawatu Alale Salama
Mlishirikiana kuufanya Huo Uovu?Tatizo Jiwe alikuwa muovu sana, yaani ingebidi apigwe hata bakora
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule dikteta hapaswi kulala, kama haya maneno yaweza kumzuia kulala inabidi tuzidishe. Madikteta wenzake wote hawalali, iweje yeye alale?
Kwani mpaka tushirikiane? Good thing ni kuwa Mungu aliingilia kati kuokoa watu wake. Mtu mwenyewe kila kitu chake kina walakini, kuanzia uraia wake mpaka elimu yake.Mlishirikiana kuufanya Huo Uovu?
A big NO to you. Ulimwengu is right. We refer to history in modelling a better future. JPM's covid-19 mismanagement philosophy is a historical benchmark to refer in the bid to combat the pandemic.JPM alikuwa na matatizo ya moyo ya muda mrefu na alikuwa tayari kwa lolote lile.
Mzee Ulimwengu anajulikana kwa siasa zake za kuushambulia uongozi unaokuwa ikulu.
Kama busara zimejaa kichwani kwake angeachana na hizi mada za kumshambulia aliyekwisha maliza muda wake duniani.