hongera sana my dearest! huwez kuamini nilitaka kuja kabisa ila jirani yangu hapa kijijini kwangu alifiwa na baba yake just tell me napita wapi mie nikitoka kuja huko?? ilibidi nibaki kwenye msiba nikiwa najilaumu tu.
but nilifurah san akuona watu walikuwa pamoja na wewe.
ahahahaaaaaa mi nna vyuo vitatu mkuu!!!
Mwisho kabisa,,,,,,,,,,,,,,,Strawberry Lips yangu jamani nani kajibinafsishia?!?! Ile ilikuwa zawadi yangu ya besdei from my hubby Vin Diesel!!!! sasa kuna mja kajibebea kama yake vile! jamani tuache utani - nataka lips yanguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!
usijali mpenzi, tutajumuika siku ingine Inshaallah, Mola akijaalia!
Love you mingi!
Tabia hii inanipa tabu................!mm pia penda wewe sana ma dearest.
Pamoja Paloma hata siku umepata mchumba tueleze tuje kukupa co!
niko cha nne sasa na ndio ninachokipenda......