Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Sitaki revenge na mtu...huyu Asprin aniwache nipumue kwa raha zangu kwani ameshindwa kuhudumia..
Ina maana babu ODM ndo kushney?
Last edited by a moderator:
Sitaki revenge na mtu...huyu Asprin aniwache nipumue kwa raha zangu kwani ameshindwa kuhudumia..
Nicas Mtei amba loi,
mzima lakini kyako.
Uniwache nipumueNgoja nimalizie kupiga jaramba kwa ajili ya ulinzi shirikishi. Ila ujue kabisa kuna Mrembo by Nature anataka kuingia kwenye himaya yangu....
![]()
Na petro akaulizwa na yule mjakazi..tulikuona na mtu huyu..naye akajibu simjui mtu huyu...Ina maana babu ODM ndo kushney?
Mie mzma sana. Umeadmika humu.
Na petro akaulizwa na yule mjakazi..tulikuona na mtu huyu..naye akajibu simjui mtu huyu...
ODM unalo mwaka huu.
Nicas Mtei nilikuwa najaribu kilimo kwanza lakini kimenishinda
najipanga kuja kuendeleza jf.
Mhh Asprin, umechemsha, hzi sio swaga zangu kabisa.....flava zangu za kiutu pori, kitu mlenda kitu mwili yaiNgoja nimalizie kupiga jaramba kwa ajili ya ulinzi shirikishi. Ila ujue kabisa kuna Mrembo by Nature anataka kuingia kwenye himaya yangu....
![]()
Tabia hii inanipa tabu................!
tabu ya nini?? si kazi wewe huwa unawachukia watu tena ingawa unakaa nao lkn moyoni una donge.
kimekushndaje? Mi mwenyewe nataka nihamie huko. Unanikatisha tamaa.
Nicas Mtei nimeshindwa mimi tu,
kajaribishe pengine wewe utafanikiwa.
kimekushndaje? Mi mwenyewe nataka nihamie huko. Unanikatisha tamaa.
Nlshakusoma kuhusu miti Mafinga. Nami nataka njimwage humo mda c mrefu.Nicas Mtei mdogo wangu hapa ni chit chat,mi nimeshapanda msitu huko mafingahapa nakula tu good time kuhesabu miaka,kama vipi changamkia ardhi ni mali asikudanganye mtu.
Nlshakusoma kuhusu miti Mafinga. Nami nataka njimwage humo mda c mrefu.