Big Up to JF Chit Chatters Dar Wing!!!!!!!!! Asanteni sana kwa kunipa Tabasamuuuuuuuu!!!!!!!!!

Big Up to JF Chit Chatters Dar Wing!!!!!!!!! Asanteni sana kwa kunipa Tabasamuuuuuuuu!!!!!!!!!

Risasi za Nicas Mtei utaziweza? Shauri zako!


attachment.php
Ha ha ha haaaaa.No comment please
 
Last edited by a moderator:
Hiyo Strawberry Lips hebu muulize Zion Daughter, maana ilikuwa ubazi wake......LOL

Tupo pamoja Paloma nakiri kwamba shughuli nzima ilisimamiwa na Jeska na amu walifanya kazi kubwa sana, mimi nilikuja kumalizia tu... Lakini pia kwa kweli kuna haja ya kumpa Mjeda ID ya heshima hapa JF kwani alifanikisha White Party ingawa hakuhudhuria kutokana na majukumu yake kikazi maana anajiandaa kwenda DRC CONGO mwezi ujao kulinda amani, lakini pia hii Birthday yako alikuwa ni mmoja wa wadau waliofanikisha kile tulichokusudia..........
Mtambuzi !!!!! Nitatoa siri ohhhh!!!!patachimbika hapa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom