Big Up to JF Chit Chatters Dar Wing!!!!!!!!! Asanteni sana kwa kunipa Tabasamuuuuuuuu!!!!!!!!!

Big Up to JF Chit Chatters Dar Wing!!!!!!!!! Asanteni sana kwa kunipa Tabasamuuuuuuuu!!!!!!!!!

Mwanamke kudengua weye...... hahahaaaa... We kubali tupo wawili ili usiumie roho bidada!!!!!

Teh teh.... Haya mke mwenza!!!!!!!

kwani mie nakataa baathi ukute tunajishaua hapa kumbe mwenyewe anayependwa yupo.......chezea hawa watu wenye naniliu......heheheheee! Sie tupendane tu kwelikweli mwenyewe atukomeee.........
 
Hongera sana Paloma, tunakuombea mungu akuongoze akubariki kila uingiapo na utokapo. Aisee ile miaka ya naniiii bado kabisa banaa! Mulize King'asti na gfsonwin wanajua how to deal ile mambo..... Chezeiya maloveeee.... Vin Diesel abaki anashangaa unazidi kung'ara na kupendeza

asante kipenzy!!! Mungu pia akubariki mamito!!! :whistle: to Vin Diesel
 
Last edited by a moderator:
thanks babu.....oor sorry i thought ni babu odm!
thanks Arushaone
Hapana, usinihusishe kwenye haya makitu mpaka uniambie KakaKiiza alikuwa anafanya gani kwenye naniliyu yako.

P7140409.JPG
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom