Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
ngoja nimwambie.......eti we Nicas Mtei umeshakuwa doubled?
sipo huko mie. Bdo nipo nipo
Last edited by a moderator:
ngoja nimwambie.......eti we Nicas Mtei umeshakuwa doubled?
jamaaani!!! my Strawberry Lips yanguuuuuuuuuuuuuu........ngoja nikacheki kwenye radar!!!
Really??hahahhahahaaaaaaaaaaaaa si aliniambia eti umemtuma aje anikague......maana wewe na Kaizer mmeshafikia umri wa ssra
nipo single na bado nipo nipo
Umeanza tena, umeanza tena....asprin babu ushoga sitaki mie, ushoga wa mjini kazi kweli kweli kila saa kinanuka....Really??
![]()
Unajiamini kabisaaaaa??
![]()
Kuna bintui anaitwa Mrembo by Nature, mwambieni asikuje pande hii eti.
Sasa mbona unanitisha??yani upo tayari kuchinja mtu?? Manake nini AsprinOpinion yangu?
![]()
Hahahahahahaha
ngoja nimtume charminglady akulletee
Manake sitaki kushea na mtu hii makitu....
http://sphotos.xx.fbcdn.net/hphotos-ash4/480828_393311050727326_196484508
7_n.jpg
Jambo, jambo wewe?
Risasi za Nicas Mtei utaziweza? Shauri zako!Ha ha ha ha haaa.. Hata mie sitaki kushare Nicas Mtei kasema bado yupo single. sasa wewe na faivusamu yako mie ntaiweza wapi
Kwa hiyo??tumechishe basi??au ndo unanitolea nje kimtindo..
Asprin nahitaji opinion yako
helloooooow JF Chit-chatters!!! Heshima kwenu nyote!
Mwisho kabisa,,,,,,,,,,,,,,,Strawberry Lips yangu jamani nani kajibinafsishia?!?! Ile ilikuwa zawadi yangu ya besdei from my hubby Vin Diesel!!!! sasa kuna mja kajibebea kama yake vile! jamani tuache utani - nataka lips yanguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!
Tuma hizo hela fasta nikanlmnunulie kabla supermarket hazijafungwa!!!