Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
hahahhaaa ntakwambia tena wewe na Nicas Mtei mje kupokea mahari!!!
ngoja kwanza. Punguza papara. Cjaelewa
Last edited by a moderator:
hahahhaaa ntakwambia tena wewe na Nicas Mtei mje kupokea mahari!!!
Chachu Ombara i love you muchly! mpaka roho inauma uuuuwi!Hongera sana Paloma,Mungu akuzidishie nguvu na afya tele ili uweze fikia umri kama wangu babu yako.LOVE U MUCH
Hajambo lakini ni yule yule wa zaman lol.Chachu Ombara i love you muchly! mpaka roho inauma uuuuwi!
Huo umri wa babu wa kuanikwa juani mwenzangu....................hapana!
BTW mwali wako mpya hajambo?
Hatimaye mtoto kakua na pamperz katoa...nimependa tu ulivyoitambulisha familia yangu!!! teh!
naiheshimu sana famile yako warembo wako wooooote!
pampas...alinivika Ruttashobolwa akanibadilisha mara mbili manake nlikunywa sana madhiwa yale ya pinki!
msalimie mwanao CHARMimglady! nimemiss tulivyokuwa tunacheza naye kombolela!
Heheh rafikiyo anakupa hi5...kumbe wewe ndio yule binti aliyemtegua mwanangu mkono eenh!!!, kweli vijana wa siku hizi mnakua haraka kweli, sijui ndio sayansi na teknolojia hiyo...khaa!!!
akuuuu mie sikumvunja........alivunjwa na mumewe wakati tunacheza mchezo wa baba na mama...muulize vizuri atakwambia
asante mwayego....mbona hujucome kipande ile nawewe ukule mayi?
Mwe !! ulikuwa wapi na Vin Diesel , aaargh....!!! Paloma umeharibu banaa!!!