- Thread starter
- #21
Usilete siasa kwenye kila kitu bloo hakuna anayemtakia mwenzake ugonjwa au kifo,jikite kwenye hoja,wazungu huwapima wachezaji wao kabla ya kuwasajili,sisi tunafeli wapi achana na ishu za usimba na uyangaMlishawahi kutangaza kuwa Lowasa atakufa ofisini ni mgonjwa sana lakini ikawa mazing-zong mpaka sasa hamjaamini.