Bigirimana alifeli vipimo vya afya Ulaya, anaumwa homa ya ini

Bigirimana alifeli vipimo vya afya Ulaya, anaumwa homa ya ini

Ushabiki wa kipumbavu sana, ugonjwa aliok
utwa nao 2015 unaleta habari zake leo? Nani alikudanganya kwamba hauponi?
Baada ya hiyo 2015 kacheza Coventry City, Motherwell, Herbinian, Solihull Moors, Glentoran. Hizo zote za ulaya, nao hawana utaratibu wa kupima?
Huo ugonjwa ukigundulika hatua za mwanzo unapona kirabisi tu, lkn ukichelewa hauchukui muda unakufa, angechelewa mpaka sasa asingekuwa hai
Acha povu wewe utopwinyo
 
Wacha kumnanga mchezaji, hiyo nu biashara yake, vipi kama angesajili Simba, ungemnanga? Kama vipi na wewe nenda ukasajiliwe, hata asipocheza mwaka mzima bado atabaki kuwa mchezaji wa Yanga, Mbona wapo waliolipwa mishahara ya mwaka mzima bila kucheza mechi yoyote
Nani kamnanga ,tuliza kipago bibie
 
nime post hii habarti jana nashukuuru kuna mwenye akili na yeye atleast aliahangaika ku google GAEL BIGIRIMANA HEPATISIS C wengine ni vilio na matusi na kulai kwa mods habari ifutwe....hivi utopolo wnafanya medical check up kweli?😁😀😆
Wachezaji wa kampeni na huyi aliletwa baada ya kumkosa Aziz Kii na Gael atapata likizo,mapumziko na safari nyingi za matatizo ya kifamilia.
Gael ni campaign manager wa Said Hersy uchaguzi uliopita.
 
Wewe tukija kukupima hapo ulipo tutakukuta na magonjwa mangapi mwilini mwako? Ni wakati sasa wa kuachana na hii mijadala yenu isyo na kichwa wala miguu.
Kumbe umekubali ni mgonjwaa??? Baas.
Case closed
 
MAKOLO Banaaa...wamejaa Roho mbaya na Uchawi [emoji23]
images%20(15).jpg
 
Kiutaratibu haruhusiwi kucheza soka atakuja fia uwanjani ndio maana ulaya kote alinyimwa kibali
 
Kumbe umekubali ni mgonjwaa??? Baas.
Case closed
Kha! Wapi nimekubali ni mgonjwa! Kwani mimi ni daktari wake! Nime generalize tu, Waafrika wengi tunaishi na magonjwa! Hivyo siyo busara kuwanyooshea vidole wengine, na wakati sisi wenyewe ni maiti zinazo tembea.
 
Kha! Wapi nimekubali ni mgonjwa! Kwani mimi ni daktari wake! Nime generalize tu, Waafrika wengi tunaishi na magonjwa! Hivyo siyo busara kuwanyooshea vidole wengine, na wakati sisi wenyewe ni maiti zinazo tembea.
Sisi wengine tumetulia, hatuna heka heka za kwenye pitch, yeye Mstaafu huyu na wakala wa mikate, anavyohaha kumbe ligonjwa, afu linataka mkiki mkiki, atakuja afie uwanjani.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwanini asiwekwe km kocha wa viungo??
 
Back
Top Bottom