Usilete siasa kwenye kila kitu bloo hakuna anayemtakia mwenzake ugonjwa au kifo,jikite kwenye hoja,wazungu huwapima wachezaji wao kabla ya kuwasajili,sisi tunafeli wapi achana na ishu za usimba na uyangaMlishawahi kutangaza kuwa Lowasa atakufa ofisini ni mgonjwa sana lakini ikawa mazing-zong mpaka sasa hamjaamini.
Amen and Thread closedUtopolo kuliko kukataa ukweli ulio wazi mitandaoni na kumtukana mleta mada kwa kusema huo ukweli, naona bora huo muda wa ubishi wenu tuuelekeze kumuombea mgonjwa aendelee kuwa na nguvu za kucheza mpira kwa sababu huko ndiko kwenye rizki yake.
Wote tuseme - Amen.
Wewe tukija kukupima hapo ulipo tutakukuta na magonjwa mangapi mwilini mwako? Ni wakati sasa wa kuachana na hii mijadala yenu isyo na kichwa wala miguu.Hakuna cha [emoji706]huyo jamaa anaumwa, hii habari iliandikwa na jarida maarufu la michezo la Mirror tokea mwaka 2015, kasome zaidi hapa!
View attachment 2288869Newcastle midfielder Gael Bigirimana suffering from 'mystery illness'
Rangers have been left angered by Newcastle's decision to send players on loan to the Scottish club when they were aware that they were not fit to playwww.mirror.co.uk
View attachment 2288870
Kwani tangu 2015 mpk sasa kacheza timu ngapi? Na timu zote alizopita alikuwa hapimwi Afya yake?Usilete siasa kwenye kila kitu bloo hakuna anayemtakia mwenzake ugonjwa au kifo,jikite kwenye hoja,wazungu huwapima wachezaji wao kabla ya kuwasajili,sisi tunafeli wapi achana na ishu za usimba na uyanga
Kila mtu anaumwa ishu kwa nini tanzania hatupimi wachezaji,dont take it personalWewe tukija kukupima hapo ulipo tutakukta na magonjwa mangapi? Ni wakati sasa wa kuachana na hii mijadala yenu isyo na kichwa wala miguu.
Umuombee mgonjwa, kwani wewe hapo ulipo umzima kwa asilimia ngapi?Utopolo kuliko kukataa ukweli ulio wazi mitandaoni na kumtukana mleta mada kwa kusema huo ukweli, naona bora huo muda wa ubishi wenu tuuelekeze kumuombea mgonjwa aendelee kuwa na nguvu za kucheza mpira kwa sababu huko ndiko kwenye rizki yake.
Wote tuseme - Amen.
Una hakika hawapimwi? Na kama huyu mchezaji ni mgonjwa kama unavyotaka kupotosha hapa, ilikuwaje acheze kwa dk zote 90 kwenye mechi ya Taifa lake dhidi ya Cameroun mwezi uliopita?Kila mtu anaumwa ishu kwa nini tanzania hatupimi wachezaji,dont take it personal
Wanapimwa?wapi wanapimwa,sio mikia wala utopolo wanaopimaUna hakika hawapimwi? Na kama huyu mchezaji ni mgonjwa kama unavyotaka kupotosha hapa, ilikuwaje acheze kwa dk zote 90 kwenye mechi ya Taifa lake dhidi ya Cameroun mwezi uliopita?
Na kama hufahamu, hiyo mechi ilichezwa uwanja wa Mkapa! Mimi nadhani ifikie wakati mpunguze sasa haya mambo yenu ya kipuuzi dhidi ya watu wasio wahusu kwa lolote.
hiyo namba 4 itoe ni team ya ndondo, non league club alicheza wakati anafanya kazi kiwandani kujikimu...hepatisis c inatibika ila inaweza jirudia pia..muwe mnamcheki mara kwa mara kiungo wenu mrundiTangu mwaka 2015 amecheza timu zifuatazo
1.Coventry City
2.Motherwell
3.Herbinian
4.Solihull Moors
5.Glentoran
Na hizo timu zipo ulaya wana utaratibu Wa kumpima kabisa wachezaji wao
Au huo ugonjwa kaupata 2021
Kapombe alipimwa damu iliganda ktk.mapafu ,Mohamed hidden ana ngwengwe mbona wanachezaLiko wazi hilo ila sasa huku kwetu kwenye chandimu hatujui kuchukua taadhari ila tunajua kutafuta chanzo wakati yakishatukuta
anzishia uzi wake mkuu, hapa tuna report yaliyokea kwa Rangers ya scotland kutapeliwa na newcastle utd..hilo jibu ulitakiwa uayajibu magazeti ya UK yaliyo report habari hii 2015Kapombe alipimwa damu iliganda ktk.mapafu ,Mohamed hidden ana ngwengwe mbona wanacheza
kwa hiyo Lowasa anachezea timu ganiMlishawahi kutangaza kuwa Lowasa atakufa ofisini ni mgonjwa sana lakini ikawa mazing-zong mpaka sasa hamjaamini.
ndo wametoa video mchana huu wamewapima sijui leo..pamoja naJoyceUtopolo hawakumpima
ficha upumbavu wakoKapombe alipimwa damu iliganda ktk.mapafu ,Mohamed hidden ana ngwengwe mbona wanacheza