Bigirimana alifeli vipimo vya afya Ulaya, anaumwa homa ya ini

Tupe reference
 
Huu ugonjwa Hepatitis C unatibika 100% (cured) na dawa zake zipo, wangeweza kumsaidia akapona kabisa chini ya miezi sita, na ugonjwa wa mtu ni siri yake hata kama unajua hakuna sababu yeyote ya kujadili hilo labda kama yeye mwenyewe ameamua iwe hivyo
 
Haya maneno sio mazuri, kwenye maisha kuna kitu inaitwa karma
 
Hahah Hivi Yule Aliyekuwa Mchezaji Wenu Kipenz Emmanuel Okwi Ni Bado Anaishi Kwa Matumaini Huku Akiendelea Kunywa Mbaazi Au Mlifanyaga Namna Mkamtibia [emoji2960]
 
Naomba Mungu huo ugonjwa ukurudie ww ndugu Mwandishi,ugonjwa huo ukusumbue mpaka ufe

Mwenye kumuombea mabaya mwenzake,hana budi mabaya hayo kumrudia yeye
Punguza povu,soma vizuri kilichoandikwa. Hiyo smartphone unajua tu kuingia hapa JF basi,itumie kuthibitisha kinachosemwa ni kweli au uzushi.
 
Watu wanafigisu, mti wemye matunda hutupiwa mawe

Video chini Mwamba akipata vipimo
 

Attachments

  • VID-20220713-WA0049.mp4
    6.7 MB
Watu wanafigisu, mti wemye matunda hutupiwa mawe

Video chini Mwamba akipata vipimo
vipimo bada ya haya maneno kuanza jana ndugu yangu, kuna video ya kipimo cha kambole? no...sababu hayuko nchini....reference ya magazeti ya Uk mmewekewa bado mnapiga makelele kama vyura
 
Na unaambukiza hata kwa kugusana kwa jasho.
Wenye mademu Dar ombeni asiwe fuska
 
Be careful with your mouth" Dunia ni shule

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Umuombee mgonjwa, kwani wewe hapo ulipo umzima kwa asilimia ngapi?

Usikute wewe ni maiti tu inayotembea, halafu unapata kabisa ujasiri wa kunyooshea watu wengine kidole.
Tatizo mna panic bila sababu, hakuna aliyefurahia hapo, tatizo hamtaki kukubali ugonjwa wa mchezaji wenu.
 
Punguza moto, ushahidi umewekewa pale juu jamaa yenu ni mgonjwa.

Wewe kama unadai ni mzima tupe ushahidi mwingine unaosema hana tatizo alilokutwa nalo.

Lakini sio kutuambia alikuja kwa Mkapa kucheza mechi na Cameroon, huko kucheza mechi na Cameroon sio majibu ya daktari, na wala hakumuondolei tatizo alilowahi kukutwa nalo, open up your mind, think BIG!

Usilete ushabiki kupinga kila kitu hata kilichopo kwa maandishi.
 
Mim kinachonishangaza huyu mpaka kakimbia ilaya kuja huku mchangani analipwa mshahara kiasi gan?

Kimlipa dollar 20000 haiwezekani hamna mchezaji bongo hii anaelipwa pesa hiyo

Na huyo katoka uingereza

Kweli maajabu hayaishagi
 
Jana huu upumbavu wenu umefutwa, Leo umeleta tena. Mkipigwa Ban mnarudi kwa ID mpya wapuuzi wakubwa nyie. Ulipo unaishi kwa vidonge v3 kila siku maisha yako yote halafu unakujeli mwenzio?
amekejeli wapi? Ni aibu timu kusajili wagonjwa.
 
Ushabiki wa kipumbavu sana, ugonjwa aliok
utwa nao 2015 unaleta habari zake leo? Nani alikudanganya kwamba hauponi?
Baada ya hiyo 2015 kacheza Coventry City, Motherwell, Herbinian, Solihull Moors, Glentoran. Hizo zote za ulaya, nao hawana utaratibu wa kupima?
Huo ugonjwa ukigundulika hatua za mwanzo unapona kirabisi tu, lkn ukichelewa hauchukui muda unakufa, angechelewa mpaka sasa asingekuwa hai
 
Wacha kumnanga mchezaji, hiyo nu biashara yake, vipi kama angesajili Simba, ungemnanga? Kama vipi na wewe nenda ukasajiliwe, hata asipocheza mwaka mzima bado atabaki kuwa mchezaji wa Yanga, Mbona wapo waliolipwa mishahara ya mwaka mzima bila kucheza mechi yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…