Acha povu wewe utopwinyoUshabiki wa kipumbavu sana, ugonjwa aliok
utwa nao 2015 unaleta habari zake leo? Nani alikudanganya kwamba hauponi?
Baada ya hiyo 2015 kacheza Coventry City, Motherwell, Herbinian, Solihull Moors, Glentoran. Hizo zote za ulaya, nao hawana utaratibu wa kupima?
Huo ugonjwa ukigundulika hatua za mwanzo unapona kirabisi tu, lkn ukichelewa hauchukui muda unakufa, angechelewa mpaka sasa asingekuwa hai
Nani kamnanga ,tuliza kipago bibieWacha kumnanga mchezaji, hiyo nu biashara yake, vipi kama angesajili Simba, ungemnanga? Kama vipi na wewe nenda ukasajiliwe, hata asipocheza mwaka mzima bado atabaki kuwa mchezaji wa Yanga, Mbona wapo waliolipwa mishahara ya mwaka mzima bila kucheza mechi yoyote
Wachezaji wa kampeni na huyi aliletwa baada ya kumkosa Aziz Kii na Gael atapata likizo,mapumziko na safari nyingi za matatizo ya kifamilia.nime post hii habarti jana nashukuuru kuna mwenye akili na yeye atleast aliahangaika ku google GAEL BIGIRIMANA HEPATISIS C wengine ni vilio na matusi na kulai kwa mods habari ifutwe....hivi utopolo wnafanya medical check up kweli?πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani mayelle hana Ebola ?
Kumbe umekubali ni mgonjwaa??? Baas.Wewe tukija kukupima hapo ulipo tutakukuta na magonjwa mangapi mwilini mwako? Ni wakati sasa wa kuachana na hii mijadala yenu isyo na kichwa wala miguu.
Kha! Wapi nimekubali ni mgonjwa! Kwani mimi ni daktari wake! Nime generalize tu, Waafrika wengi tunaishi na magonjwa! Hivyo siyo busara kuwanyooshea vidole wengine, na wakati sisi wenyewe ni maiti zinazo tembea.Kumbe umekubali ni mgonjwaa??? Baas.
Case closed
Kuna mda muwe mnakaa kimya kuepusha aibu ndogo ndogoWachezaji wa kampeni na huyi aliletwa baada ya kumkosa Aziz Kii na Gael atapata likizo,mapumziko na safari nyingi za matatizo ya kifamilia.
Gael ni campaign manager wa Said Hersy uchaguzi uliopita.
Sisi wengine tumetulia, hatuna heka heka za kwenye pitch, yeye Mstaafu huyu na wakala wa mikate, anavyohaha kumbe ligonjwa, afu linataka mkiki mkiki, atakuja afie uwanjani.Kha! Wapi nimekubali ni mgonjwa! Kwani mimi ni daktari wake! Nime generalize tu, Waafrika wengi tunaishi na magonjwa! Hivyo siyo busara kuwanyooshea vidole wengine, na wakati sisi wenyewe ni maiti zinazo tembea.
Aibu gani ilihali mchezaji mgonjwa sasa atachezaje mpira?Kuna mda muwe mnakaa kimya kuepusha aibu ndogo ndogo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app