Biharamulo: Kampeni, kura na matokeo!

- Kujitoa? Too early for that, sasa labda tusubiri majbu yake maana that is what demokrasia requires, yaani dual process Chadema wamelalamika Oscar na CCM watajibu, ndipo tutaweza kuona ukeli ulipo maana hii ni JF ukiweza kutudanganya hapa basi wewe huba mfano.

- Binafsi nimeamua kusubiri majibu ya Oscar na CCM, ndio nitaendelea na huu mjadala. CCM najua kwamba walijadili sana hii ishu mpaka suiku wa manane na kuishia kumpitisha, sasa kweli huko kwenye kura za maoni hakuna aliyeshituka? Chadema wamedanganywa na mtu mbaya sana maana kama jamaa ni raia, basi atakuwa mshindi tu bila ubishi, halafu sijui tutaambiwa nini this time!

Later!

Respect.

FMEs!
 
-
- Ninajadili hii ishu na openmind, kwamba anything is possible, lakini facts kwanza sijaona za kuni-convince kwamba jamaa sio raia!
FMEs!

Sawa Mkuu ila ulipoandika haya yafuatayo ulikuwa na maana gani ?

Naona hapa kulikuwepo na utata kuhusu jina Mukasa/Rwegasira. Sasa tupe sababu ya jina Mukasa kuleta kizaa zaa kwenye kikao cha CC . Je na hapa tutegemee ufisadi wa majina kama ule wa Rostamu Chakaar Aziz Abdulrasul etc ..kwi kwi kwi !!!
 
- Mkuu sikuwepo kwenye kikao ila aliyenipa dataz hakutaka niweke yote wazi, lakini all and all siamini kwamba CCM wanaweza kuwa low kiasi hicho cha kumpitisha a foreigner kuwa mgombea wao, ndio maana ninasema ninataka kusubiri more fatcs.

Respect.

FMEs!
 
Nani ana mzigo wa hakikisho kuthibitisha ukweli wa uraia wa Rwegasira?
 
Mara ngapi wamefanya hayo, ama unataka kutufanya hatuna kumbu kumbu? Akina Ulimwengu et al?
 
Rwegasira mwenyewe, katika umri huu anajijua kama ni raia ama la ili kurefute hilo pingamizi.

Sikusema Rwegasira anajua au hajui uraia wake, au ana umri mdogo ua mkubwa.

Nani ana mzigo wa hakikisho kuthibitisha ukweli wa uraia wa Rwegasira?
 
...

Nani ana mzigo wa hakikisho kuthibitisha ukweli wa uraia wa Rwegasira?

Rwegasira, kama wazazi wake ni raia wa Tz anatakiwa apeleke vithibitisho kwa tume, kama wazazi wake sio raia anatakiwa apeleke uthibitisho wa kukana uraia wake wa awali, I stand to be corrected.
 
Mkuu Dilunga,

Kwa uelewa wangu, swala hili linatakiwa kwenda kwa ngazi.

Ngazi ya kwanza ni mgombea wa CHADEMA kuweka pingamizi, na ninadhani mtu anapoweka pingamizi ambalo limepelekea/sababisha Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo kumwandikia barua mgombea wa CCM basi lazima kuna evidence za kiwango fulani ambazo zina hitaji majibu.

Ngazi ya pili ni majibu ya Bwana Oscar ambayo yatasaidia kutoa uamuzi wa Tume ya Uchaguzi ili kuona kama pingamizi limejibiwa ipasavyo au la.

Iwapo Tume ya Uchaguzi itatupilia mbali pingamizi hilo, basi mgombea wa CHADEMA ana haki ya kwenda mahakamani kuomba Mahakama isimamishe uchaguzi mpaka kwanza kesi ya uraia ya mgombea wa CCM imalizwe kwanza. Na kama uchaguzi ukifanyika na CCM wakashinda basi mgombea wa CHADEMA anaweza kwenda mahakamani kupinga ili jamaa avuliwe ubunge.

Katika stage ya 3, option zote mbili zina advantage kwa CCM kwa kuwa wanaweza kuweka mtu mwingine just in case mahakama ikiweza ku-rule kwamba kijana siyo raia. Na kwa kuzingatia kwamba kesi za uchaguzi huwa zinachukua muda mrefu inaweza kuwa haina maana kulipa shilingi milioni 5 kwa ajili ya kupinga matokeo ya uchaguzi na kesi inaweza kuisha mwakani mwezi Oktoba wakati wa uchaguzi mwingine. Kuna kesi za uchaguzi za mwaka 2005 mpaka leo hii bado ziko mahakamani na hazitolewa hukumu.
 
Sikusema Rwegasira anajua au hajui uraia wake, au ana umri mdogo ua mkubwa.

Nani ana mzigo wa hakikisho kuthibitisha ukweli wa uraia wa Rwegasira?

what the hell is "mzigo wa hakikisho".. una maana ya "burden of proof"? duh.. tafuta lugha yake ya Kiswahili usitafsiri neno kwa neno!
 
Rwegasira, kama wazazi wake ni raia wa Tz anatakiwa apeleke vithibitisho kwa tume, kama wazazi wake sio raia anatakiwa apeleke uthibitisho wa kukana uraia wake wa awali, I stand to be corrected.

Hiki ni kitu Rwegasira anatakiwa kufanya iwapo yeye ndio ana mzigo wa hakikisho la kuthibitisha uraia wake.

Rwegasira mwenyewe, katika umri huu anajijua kama ni raia ama la ili kurefute hilo pingamizi.

Kama Rwegasira ndio ana mzigo wa uthibitisho wa kuanisha uraia wa Rwegasira kwa sababu unasema Rwegasira ndio anajua ukweli, maana yake CHADEMA hawajui. Na kama hawajui, basi wasituhumu.

Nikisema Uwiano ni Mkenya, huna jukumu kuthibisha we si Mkenya. Mzigo wa kuthibisha tuhuma ni wa mtuhumu.
 
Mara ngapi wamefanya hayo, ama unataka kutufanya hatuna kumbu kumbu? Akina Ulimwengu et al?

- Kama umeamua kujifanya mbumbu ni tatizo lako sio langu, yaani mimi ninaandika hoja wewe unajiona mbumbumbu halafu unataka kunilaumu mimi? Nitakusaidia vipi hapo?

- what do you have kuhusu uraia wa Ulimwengu? Weka hapa tuchambue ila na angalia usije ukajiona mbu mbumbu, Bwa! ha! ha! ah! haya weka hapa ya uraia wa Ulimwengu tuone!

- Halafu wewe si ulisema unamjua sana huyu jamaa Oscar, sasa weka hapa je ni raia au sio raia?

Repect.

FMEs!

- Saafi sana, kwenye haya tupo pamoja tena sana, otherwise wakuu tutoe nafasi kwa Oscar na CCM kujibu tuhuma za Chadema, then mjadala utanoga!

Respect.

FMEs!
 
....
Nikisema Uwiano ni Mkenya, huna jukumu kuthibisha we si Mkenya. Mzigo wa kuthibisha tuhuma ni wa mtuhumu.

Si kweli, Rwegasira anatakiwa akubali au akatae hizo tuhuma unless bwana Rwegasira hana haja na huo ubunge, na anataka kukilet down chama chake.

Ingawa Mbeya vijijini issue haikuwa uraia, lakini mgombea wake kuwekewa pingamizi kulipelekea Chadema kutokuwa na mgombea kiti cha ubunge jimboni humo.
 
- Kama umeamua kujifanya mbumbu ni tatizo lako sio langu, yaani mimi ninaandika hoja wewe unajiona mbumbumbu halafu unataka kunilaumu mimi? Nitakusaidia vipi hapo?
Mzee umeanza P.....hivi Arcado Ntagazwa aliwahi kuwa na kesi na uraia wake kama nakumbuka vizuri, alikuwa Mbunge na waziri wa mazingira..lakini uraia wake ulileta utata sijui kesi ilishia wapi.....
 
what the hell is "mzigo wa hakikisho".. una maana ya "burden of proof"? duh.. tafuta lugha yake ya Kiswahili usitafsiri neno kwa neno!

Ahahahahahahaha...Gademu...you are ill.....that's what's up (sijui tafsiri yake kwa kiswahili ni nini..maybe..."hicho nini juu")
 
Kwenye hili mimi naungana na mzee Dilunga. Nikisema Mwanakijiji si raia wa Tanzania kwa nini iwe wajibu wa Mwanakijiji kuthibitisha uraia wake? It just doesn't make sense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…