USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
WADAU WA MAENDELEO YA WILAYA YA BIHARAMULO WAMEANDAA TUZO MAALUMU KWA VIONGOZI WETU .Mh,Mkuu wa Wilaya ya biharamulo SACP ADVERA BULIMBA na Mhe mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa.
Tangu SACP Advera Bulimba awasili biharamulo mji umetulia na kutoa wasaa kwa kila mkazi kufanya shughuli zake za kiuchumi bila matatizo ,mkuu wetu wa wilaya akiwa ndio mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama biharamulo imesalia kuwa salama na maendeleo yanaonekana ikiwa ni pamoja na kusimamia miradi ya serikali na kuonekana kila palipo na site ya mradi akihimiza weledi na ukamilishaji,
Tangu kula kiapo mbunge wa biharamulo Eng Ezra Chiwelesa kusimamia serikali na kuhakikisha kwamba kila miradi inafanikiwa kama kiungo wa wananchi na serkali kuu , afya, elimu, miundombinu, masoko,kiliomo,bishara n.k vimekuwa sehemu ya michango yake bungeni .
Wadau wa maendeleo kwa kuona hilo wameamua kuwapa tuzo maalumu viongoz wetu majabali hawa wawili kutambua mchango wao katika kufanikisha biharamulo iliyo bora .
USSR