BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

Ebu tufanye hesabu kidogo Tanzania ina watu zaidi ya mil60 ,sasa tuchukue mil20 tu ndo walocheza ......haya kila mmoja biko anatupia elfu mmoja tu ....1000 X 20,000,000 = 20,000,000,000______ afu toa hiyo Milioni 50 kwa MTU mmoja kama BAHATI yake ....sasa jiulize na ukishinda unakatwa kodi lakini wao ukituma buku imeenda hiyo haina kodi wala nini ........chezeni lakini akili kichwani
 
Hiyo michezo mimi imeshanishinda. Siwezi kuja kuweka pua yangu huko. Hela yenyewe ya ngama ina bajeti kibao bado niongeze na BIKO.?

SALAALEH...
 
Wamekuambia kabisa biko na tatu mzuka kwamba zinasimamiwa na Gambling Board of Tanzania. Sasa ulidhani sio kamali hiyo?
 
Hizo ni kamari tu wala sio kitu kingine. Na ni ulevi unaozidi kushika kasi kwa watu wengi. Ni aina ya whitewashed theft.
 
wanacho boa sasa ukicheza tu kila saa wanakuletea text kuw bado kidogo ujishindie!
 
Kwa mbali nauona mchezo wa Biko ukikamata kasi ya ajabu na watu kuanza kusau kabisa Betting ambyo ndio ilionekana kua ngekewa kwa watu wengi.

Na kwa research yangu nimeona Biko inajizombea watu kwa sababu hizi chache.

1.Urahisi wa kucheza , haina mlolongo kamaatumiz ya Internet na kufuata palipo mashine husika.
2.Haipotezi muda kufikiria kwa wakati mwi ngi namna ya kucheza
3. Ushiriki wake umelenga watu wote, tofauti na Bett ambapo wao inaonekana kupata muitikio zaidi kwa vijana jinsia Me.

Binafsi sichezi wala sihusiki kwa namna moja ama nyingine , ila nimfuatiliaji wa biashara mbalimbali.

My take .
Betting Coy , zianze kua macho na kubadibadili namna ya utendaji katika biashara zao.

Thanks .
 
Si kweli Sema ayo mabiko ya promo kubwa m watu wanaonizunguka naona wanaobet n wengi kulinganisha na hiZo biko na tatu mzuka
 
biko wenyewe wanakimbilia kwenye betting nao wanameshaanza utabiri wa michezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…