BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

Kuna mangi jirani yetu, yeye hucheza mida ya SAA 12 jioni kila siku, anatoa buku anapaya 20,000
Mara kadhaa nimeshuhidia akocheza na kupata
 
Huwa wanatangaza iwapo utakosa Jumatano, basi tiketi itachezeshwa Jpili, cha ajabu ukinunua tiketi Ijumaa unaanza na moja.
 
Wewe umeambiwa una nafasi 26 mbele za ushindi hujiulizi tu, kama unacheza 10000×26=260,000. Huo ni mfamo.
Mkiwa mbumbumbu 2,000 kwa Siku ni 520,000,000/=
Sasa hapo wamekuja kugawa au kuchukua.
Tafakari twaweza wasikutumie vibaya. 😵😵
 
Hawachezeshi mwangani huwa wana mshindi tayari! Kipindi chenyewe Recorded hatuonyeshwi mshindi anavyopatikana na hawaelezi Lini namba yako inachezeshwa yaani uweumenunua Mara ngapi. Biko Magumashi kama walivyo watangazaji wake
NGOJA NIINGIE KWENYE UDUKUZI WA HIZO NAMBA ZINAZOSHINDA NITAWAJULISHA KINACHOENDELEA!!!!!
 
Chezea Million 50, 000,000 wewe. Biko Biko namba ya kumbukumbu 505050.
 
ndio mambo ya uchumi hayo,kipindi ambacho serikali inabana pesa ndo michezo ya kamari inakua inashamiri,kumbuka jackpot bingo enzi za mkapa.
 
ninachokiona ni kwamba sio wanatoa pesa kirahisi sisi wachezaji ndio tunajichania wenyewe hiyo m.50. kile kinachosalia ndo faida yao. mfano, kwa siku moja wakiweka watu 1000000 zidisha kwa sh.1000/=. je kwa siku tatu zakucheza kabla ya droo...!
 
Ijue nguvu ya buku
BIKO MSHIKO NJE NJE

Pole mkuu labda upepo wa pesa ndefu haujavuma kwako
 
Uvivu wa kufikiri! una uwezo wa kucheza hadi laki 3 tafsiri yake ni kwamba una source of income tayari, kwa nn usifikiri namna ya kuwekeza kidogo kidogo ili siku za mbele uwe ni mtu mwenye pesa nyingi..Njia za mkato hazijawahi acha mtu salama!
 
ukiacha punyeto
ngada,
pombe,


kamali ni addiction inayofuatia
 
BIKO na TATU MZUKA wote matapeli. Mtu na akili zako timamu utachezaje mchezo mshindi wa 50m ni mmoja tu alafu wanaomchagua wao kwa mfumo wa kompyuta. Watanzania amkeni. Nibora uweke elfu kumi umpe ushindi juventus, Manchester utd, man city, Suduva Marijampole, Atalanta, na timu nyingine zakibabe upate laki 2 yako week end inaenda poa kabisa.
 
Wasiwasi ndio akili Mkuu...jiulize ni kwa nini wahusika wanazuiwa kushiriki mchezo huo...!?

Ni kundi la watu fulani wako kibiashara zaidi.
 
Wale ni matapeli tuu hamna lolote, Nashangaa watu wako busy kucheza!!!
 
Wale ni matapeli tuu hamna lolote, Nashangaa watu wako busy kucheza!!!
Hawana tofauti na 3-Mzuka,
Nyie mnataja namba zenu hukuuuuuu,
Mwisho wa saa wao ndio wanakuja kuangalia mmetaja namba zipi kwa wingi kisha wao wanataja zile ambazo hazijatajwa
 
Hawana tofauti na 3-Mzuka,
Nyie mnataja namba zenu hukuuuuuu,
Mwisho wa saa wao ndio wanakuja kuangalia mmetaja namba zipi kwa wingi kisha wao wanataja zile ambazo hazijatajwa
Hii michezo haijawahi niingia akilini kabisaa!!!! Nitakuwa wa mwisho kuamini
 
Ngoja kesho nijaribu, nisiposhinda nitaamini kabisa ni ulaghai
 
Back
Top Bottom