Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni bahati nasibu, wewe huna bahati.Nimekuwa nikicheza sana BIKO, nimetumia zaidi ya laki tatu sishindi, nimekuwa nikicheza kila baada ya robo saa au kila nikikumbuka nacheza. Lakini sijawahi kushinda hata hiyo milioni Moja. Naomba kufahamu kama kuna mtu aliwahi kushinda millioni Moja BIKO?
TAZAMA HAPA nikacheza elfu kumi, ila katika muda Huo huo niliocheza nikashinda elfu ishirini bado ile hela Yangu ikiendelea kucheza katikati round hiyo wakasema bado mshindi Mmoja nishinde millioni moja, ikaendelea kucheza kucheza hiyo hiyo elfu kumi Yangu nilo cheza, cha ajabu nikashinda elfu 50,000 badala ya 1 million.
KWANINI Baada ya kushinda 20,000 waliniambia bado mtu 1 nishinde 1 million then ile ile elfu kumi Yangu ilipokuwa inaendelea kucheza nilishinda 50,000 badala ya 1 million?
Naomba kufahamu mtu anaposhinda 5,000, 10,000, 20,000, 50,000, 1,000,000 na hiyo 50,000,000 ni vigezo gani huwa mnatumia kuupata huo ushindi??????
KINGINE, huo muda mnatafuta mshindi huwa ni live au huwa ni recorded mnatudanganya mnatafuta mshindi?!! Mnatafuta mshindi muda mchache huo?!! HIYO HUWA NI RECORDED NA SIO MUDA HUO HUWA MNAMTAFUTA NA KUMPIGIA MSHINDI.
OMBI LANGU KWA SERIKALI.
Naomba kampuni inayochezesha huu mchezo, hizo hela wanazozikusanya kutokana na watu kucheza asilimia 90% zitumike kuwa zawadia kwa wanaocheza na kushinda,
Hii kampuni ionyeshe jinsi inavyopata washindi na vigezo vya kushinda
Pia walipe Kodi kutokana na makusanyo wanayokusanya na sio kujitajirisha wao kwa kukusanya hela kwetu kwa njia zisizoeleweka vyema
Nimekuwa nikicheza sana BIKO, nimetumia zaidi ya laki tatu sishindi, nimekuwa nikicheza kila baada ya robo saa au kila nikikumbuka nacheza. Lakini sijawahi kushinda hata hiyo milioni Moja. Naomba kufahamu kama kuna mtu aliwahi kushinda millioni Moja BIKO?
TAZAMA HAPA nikacheza elfu kumi, ila katika muda Huo huo niliocheza nikashinda elfu ishirini bado ile hela Yangu ikiendelea kucheza katikati round hiyo wakasema bado mshindi Mmoja nishinde millioni moja, ikaendelea kucheza kucheza hiyo hiyo elfu kumi Yangu nilo cheza, cha ajabu nikashinda elfu 50,000 badala ya 1 million.
KWANINI Baada ya kushinda 20,000 waliniambia bado mtu 1 nishinde 1 million then ile ile elfu kumi Yangu ilipokuwa inaendelea kucheza nilishinda 50,000 badala ya 1 million?
Naomba kufahamu mtu anaposhinda 5,000, 10,000, 20,000, 50,000, 1,000,000 na hiyo 50,000,000 ni vigezo gani huwa mnatumia kuupata huo ushindi??????
KINGINE, huo muda mnatafuta mshindi huwa ni live au huwa ni recorded mnatudanganya mnatafuta mshindi?!! Mnatafuta mshindi muda mchache huo?!! HIYO HUWA NI RECORDED NA SIO MUDA HUO HUWA MNAMTAFUTA NA KUMPIGIA MSHINDI.
OMBI LANGU KWA SERIKALI.
Naomba kampuni inayochezesha huu mchezo, hizo hela wanazozikusanya kutokana na watu kucheza asilimia 90% zitumike kuwa zawadia kwa wanaocheza na kushinda,
Hii kampuni ionyeshe jinsi inavyopata washindi na vigezo vya kushinda
Pia walipe Kodi kutokana na makusanyo wanayokusanya na sio kujitajirisha wao kwa kukusanya hela kwetu kwa njia zisizoeleweka vyema
Hivi mkuu huna njia halali ya kupatia fedha mpaka ucheze Biko au hata Tatu Mzuka?Jamani hao watu ni wapigaji tu,hivi WaTz tukoje?Mbona tunapenda dezo sana.Kwanza kwa mtu mwenye akili timamu kitu kama Tatu Mzuka,jina tu is enough to frighten you.The name is so demonic.Nimekuwa nikicheza sana BIKO, nimetumia zaidi ya laki tatu sishindi, nimekuwa nikicheza kila baada ya robo saa au kila nikikumbuka nacheza. Lakini sijawahi kushinda hata hiyo milioni Moja. Naomba kufahamu kama kuna mtu aliwahi kushinda millioni Moja BIKO?
TAZAMA HAPA nikacheza elfu kumi, ila katika muda Huo huo niliocheza nikashinda elfu ishirini bado ile hela Yangu ikiendelea kucheza katikati round hiyo wakasema bado mshindi Mmoja nishinde millioni moja, ikaendelea kucheza kucheza hiyo hiyo elfu kumi Yangu nilo cheza, cha ajabu nikashinda elfu 50,000 badala ya 1 million.
KWANINI Baada ya kushinda 20,000 waliniambia bado mtu 1 nishinde 1 million then ile ile elfu kumi Yangu ilipokuwa inaendelea kucheza nilishinda 50,000 badala ya 1 million?
Naomba kufahamu mtu anaposhinda 5,000, 10,000, 20,000, 50,000, 1,000,000 na hiyo 50,000,000 ni vigezo gani huwa mnatumia kuupata huo ushindi??????
KINGINE, huo muda mnatafuta mshindi huwa ni live au huwa ni recorded mnatudanganya mnatafuta mshindi?!! Mnatafuta mshindi muda mchache huo?!! HIYO HUWA NI RECORDED NA SIO MUDA HUO HUWA MNAMTAFUTA NA KUMPIGIA MSHINDI.
OMBI LANGU KWA SERIKALI.
Naomba kampuni inayochezesha huu mchezo, hizo hela wanazozikusanya kutokana na watu kucheza asilimia 90% zitumike kuwa zawadia kwa wanaocheza na kushinda,
Hii kampuni ionyeshe jinsi inavyopata washindi na vigezo vya kushinda
Pia walipe Kodi kutokana na makusanyo wanayokusanya na sio kujitajirisha wao kwa kukusanya hela kwetu kwa njia zisizoeleweka vyema
Ipo hivi manake mm nilisha wafata inbox kule Instagram nkawauliza maswali kadhaa ila mm langu kubwa lililenga kujua mshindi Wa million 50 anapatikana kwa wingi Wa tiketi ama nn walichonijib ni kwamba uanaponunua tiketi ndo unaweza kubahatisha ukakuta umenunua tiketi ya Million 50 na sio kwamba inachezeshwa hapana zile namba pale znakua zmeshasetiwa kitambo ndo maana hata kajala huwa ajeuki kuzikopi upo hapo,, ila sms zao znatia moyo sanaNimekuwa nikicheza sana BIKO, nimetumia zaidi ya laki tatu sishindi, nimekuwa nikicheza kila baada ya robo saa au kila nikikumbuka nacheza. Lakini sijawahi kushinda hata hiyo milioni Moja. Naomba kufahamu kama kuna mtu aliwahi kushinda millioni Moja BIKO?
TAZAMA HAPA nikacheza elfu kumi, ila katika muda Huo huo niliocheza nikashinda elfu ishirini bado ile hela Yangu ikiendelea kucheza katikati round hiyo wakasema bado mshindi Mmoja nishinde millioni moja, ikaendelea kucheza kucheza hiyo hiyo elfu kumi Yangu nilo cheza, cha ajabu nikashinda elfu 50,000 badala ya 1 million.
KWANINI Baada ya kushinda 20,000 waliniambia bado mtu 1 nishinde 1 million then ile ile elfu kumi Yangu ilipokuwa inaendelea kucheza nilishinda 50,000 badala ya 1 million?
Naomba kufahamu mtu anaposhinda 5,000, 10,000, 20,000, 50,000, 1,000,000 na hiyo 50,000,000 ni vigezo gani huwa mnatumia kuupata huo ushindi??????
KINGINE, huo muda mnatafuta mshindi huwa ni live au huwa ni recorded mnatudanganya mnatafuta mshindi?!! Mnatafuta mshindi muda mchache huo?!! HIYO HUWA NI RECORDED NA SIO MUDA HUO HUWA MNAMTAFUTA NA KUMPIGIA MSHINDI.
OMBI LANGU KWA SERIKALI.
Naomba kampuni inayochezesha huu mchezo, hizo hela wanazozikusanya kutokana na watu kucheza asilimia 90% zitumike kuwa zawadia kwa wanaocheza na kushinda,
Hii kampuni ionyeshe jinsi inavyopata washindi na vigezo vya kushinda
Pia walipe Kodi kutokana na makusanyo wanayokusanya na sio kujitajirisha wao kwa kukusanya hela kwetu kwa njia zisizoeleweka vyema
Acha watu waendelee kucheza kuna watu wana nyota za kuibiwa ibiwa.Acha waibiwe
Si bora yako ulipata hata buku mi patupu hadi nimeamua kuachaNimecheza nikapata buku tano tuu.