Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Kuna mangi jirani yetu, yeye hucheza mida ya SAA 12 jioni kila siku, anatoa buku anapaya 20,000
Mara kadhaa nimeshuhidia akocheza na kupata
Mara kadhaa nimeshuhidia akocheza na kupata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NGOJA NIINGIE KWENYE UDUKUZI WA HIZO NAMBA ZINAZOSHINDA NITAWAJULISHA KINACHOENDELEA!!!!!Hawachezeshi mwangani huwa wana mshindi tayari! Kipindi chenyewe Recorded hatuonyeshwi mshindi anavyopatikana na hawaelezi Lini namba yako inachezeshwa yaani uweumenunua Mara ngapi. Biko Magumashi kama walivyo watangazaji wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] madheeecheza BIKO udraiv kaa madhee!
Hawana tofauti na 3-Mzuka,Wale ni matapeli tuu hamna lolote, Nashangaa watu wako busy kucheza!!!
Hii michezo haijawahi niingia akilini kabisaa!!!! Nitakuwa wa mwisho kuaminiHawana tofauti na 3-Mzuka,
Nyie mnataja namba zenu hukuuuuuu,
Mwisho wa saa wao ndio wanakuja kuangalia mmetaja namba zipi kwa wingi kisha wao wanataja zile ambazo hazijatajwa