BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

Trust me huyu jamaa aliyeshinda Mil 50 nimesoma naye chuo Mbeya ni mshkaji kiufipi pia ni mdogo wa 94 so kanambia hata yy anashangaa kashinda so sidhani kama ni uongo kivile.

Sent using Iphone 7+
 
Mi hawajanishawishi hata kidogo yani. Ni heri football betting everybody has an equal chance to win provided ubashiri ni sahihi.

Hio ya biko sijui tatu mzuka haina tofauti na ile ya kurusha viringi ushinde sabuni au mchezo wa korokoro.

Its very easy ku introduce mbinu ya kitapeli hapo watu mnachanga buku buku zenu kwa siku hata wakiingiza million 5 tu hawana hasara. End of the week anachaguliwa mtu anapewa hela kama geresha kumbe katika ile ishirini yake million mbili tu.
 

Kwa upupu / upuuzi wako huu ' uliotukuka ' itakuchukua muda mrefu sana ' Kuuaga ' umasikini wako uliokukithiri hadi katika ' Kope ' zako za macho.
 
Niuage umaskini Kwa kucheza BIKO Upuuzi huu

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata lawama zako / malalamiko yako unaonekana bado una safari ndefu mno ya Kuuga ufukara / umasikini. Pole sana Mkuu waache Watu wacheze BIKO na hoja yako kidogo ingekuwa na ' mashiko ' endapo Wewe ndiyo huwa unawapa Pesa za kwenda Kucheza huo mchezo lakini hutoi hata ' Sumni ' iweje ' Kipira ' chako Kikuwashe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…