myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Like biko!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanazikusanya Sana hasa kwa mama zetu na kina dadaNi kitu cha kujiongeza tu, we kweli kwa usawa huu mtu ulambe mil. 50 kwa vibukubuku tu, kwani wao ni kwamba hawazitaki ama, ngoja wazisanye hizo buku kwa watu wanaopenda shortcut.
Sent using Jamii Forums mobile app
Trust me huyu jamaa aliyeshinda Mil 50 nimesoma naye chuo Mbeya ni mshkaji kiufipi pia ni mdogo wa 94 so kanambia hata yy anashangaa kashinda so sidhani kama ni uongo kivile.Wana JF kutokana na akili zangu ndogo nimekuwa sana najiuliza huu mchezo jinsi unavyoendeshwa kama maigizo vile,
Kwanza washindi wote huwa lazima simu zao zinapatikana,
Halafu Kwa sababu wanarusha live mtazame kajala Kama huwa anapiga ile simu, kingine kila mshindi huwa sio mshiriki wa mara ya Kwanza Lazima akiulizwa atasema kishacheza mara nyingi, Halafu atasema kuwa alishashinda elfu 50 na laki,
Kama mchezo ni bahati nasibu na inaendeshwa Kwa namba Kwanini hakuna namba mpya hata moja kushinda? Yaani mshiriki wa mara ya Kwanza tu,halafu tazama mtu anaepigiwa Simu itaita mara mbili kapokea, yaani Kama mtu kaambiwa shikilia simu tutakucall,
Jamani mimi bado sijaamini huu mchezo kabisa haujanishawishi, Nina hayo Tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Trust me huyu jamaa aliyeshinda Mil 50 nimesoma naye chuo Mbeya ni mshkaji kiufipi pia ni mdogo wa 94 so kanambia hata yy anashangaa kashinda so sidhani kama ni uongo kivile.
Sent using Iphone 7+
Atakuwa mpoki huyoAgent kazini
Wana JF kutokana na akili zangu ndogo nimekuwa sana najiuliza huu mchezo jinsi unavyoendeshwa kama maigizo vile,
Kwanza washindi wote huwa lazima simu zao zinapatikana,
Halafu Kwa sababu wanarusha live mtazame kajala Kama huwa anapiga ile simu, kingine kila mshindi huwa sio mshiriki wa mara ya Kwanza Lazima akiulizwa atasema kishacheza mara nyingi, Halafu atasema kuwa alishashinda elfu 50 na laki,
Kama mchezo ni bahati nasibu na inaendeshwa Kwa namba Kwanini hakuna namba mpya hata moja kushinda? Yaani mshiriki wa mara ya Kwanza tu,halafu tazama mtu anaepigiwa Simu itaita mara mbili kapokea, yaani Kama mtu kaambiwa shikilia simu tutakucall,
Jamani mimi bado sijaamini huu mchezo kabisa haujanishawishi, Nina hayo Tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unanihuku mkuu mm sio Agent na sijawahi cheza Biko au tatu mzuka na haitokaa itokee nicheze nimeeleza tu nachojua.Agent kazini
Babu, ukishinda 50m utakuwa kweli na muda wa JF? Saa hizi uko na mawazo kshenz ununue vyerehani vi4 ufungue kiwanda
Niuage umaskini Kwa kucheza BIKO Upuuzi huuKwa upupu / upuuzi wako huu ' uliotukuka ' itakuchukua muda mrefu sana ' Kuuaga ' umasikini wako uliokukithiri hadi katika ' Kope ' zako za macho.