Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

Hapa ndo nnapokumbuka kale kawimbo ka banana "subira yangu,ndio iliyoniponza..ngojangoja naonekana zoba...."zoba yoyoyo,zoba mamaama!!

Kuna Zoba Na Mwenye Hekima
Mimi Sio ZOBA cz Nina Tageti Zangu Juu Yake!
 
We shida yako utakikujituma, kama ukifika mlangon ukawa umefungwa basi chungulia hata dirishani ujue kilichopo ndan. Sikwambii uka mdoo ila ukwel upo hatakama utofanya hvyo.

Sitakagi Mishu Hzo Za Mapenzi Ya Kumbikumbi!
 
Acha uzoba fuatilia kwa makini ni lini utapewa tunda,usijekuta unacheleweshwa bila sababu,maana bikira nyingine kama za zenji.

mimi Sio Zoba...Mimi Ni Mkarimu.
Hzo Za Zenji Sizitaki Na Ndo Maana Nahtaji Ushauri Wenu Wakuu!
 
bandua mzigo atanyamaza la sivyo utajajuta ukikuta usichokitarajia maana atakwambia, bikra iliondokaga wakati akicheza Rede

dah!Hilo Nalo Neno Mkuu
ukarimu Nauweka kando!
 
we jifanye kama huna time naye, jaribu kuwa busy na mambo mengine na ikiwezekana tafuta binti mwingine. Hakuna cha bikira hapa watu wanamega tu, mie kuna binti mmoja alinidanganyaga ni bikira lkn baadaye wakati kila nikitaka kuduu anakataa nikagundua anaogopa aibu kwani wala hakuwa bikira. Hawa mabinti wanaanza mapenzi mapema yahani 13yrs tayari ukikuta binti kwenye 20's ni bikira jiulize mara 2 labda anakasoro.
 
Nina Gf Wangu(anajitegemea) Ambaye Kiukwel Ninampenda Sana Na Ndio Maana Hata Aliponizuia Kuwa Nisimwage Wino Mpaka 2we Ktk Ndoa kwa Kuwa Yeye Ni Bikra Na Hakuna Anayeistahl Mpaka Yule Atakayemuoa(mimi),
Mzee Nikanywea Na Ku2lia

Ila Maisha Ya Mahusiano Haya Kiukwel Naish Kimashakamashaka Hasa Ukizangatia Nampenda Halafu Mwisho Wa Siku Nikapigwa Pilipili Ya Macho
Na Hyo Bikra Yake kama Mwana jf Fulan Hv.
Huyu Gf Mimi Ni Mwanaume Wa Pili Anadai Wa Kwanza Alianza Nae Mahusiano Toka Shule Na Wakadumu Kwa Miaka Miwil Kisha Wakaachana
Ingawa Anadai Nae Hawakuduu Nae.

Wajamen Naomba Msaada Namna Ya Kumjua Mwanamke Bikra... kwani Nimechoka Mwenzenu Na Hizi Propaganda Zake

Suala La Pili Ni Kwamba Huyu Gf Wangu Kila Wiki Anavaa Nguo Mpya Vlievile Hata Kichwan Yaan Ni Bandika Bandua Fashen Za Nywele After 2 Wiks
(najua Mshahara Wake Haukiz Mambo Yote Haya)

USHAUR WAJAMEN PLZ MWENZENU NIMEFUNGWA!!

Hizo clues ulizoona kwa huyu mdada zifanyie kazi; kuhusu suala la kujua kama 'rakibi' ya huyo GF wako kama iko still sealed mmh, watafute wataalamu watakwambia.
 
Hapa ndo nnapokumbuka kale kawimbo ka banana "subira yangu,ndio iliyoniponza..ngojangoja naonekana zoba...."zoba yoyoyo,zoba mamaama!!

kwa sabaabu nilimpenda kweliiiiii,,,,
mapenzi mapenzi mapenzii,mapenziiiiiiiiiiiiii
 
we jifanye kama huna time naye, jaribu kuwa busy na mambo mengine na ikiwezekana tafuta binti mwingine. Hakuna cha bikira hapa watu wanamega tu, mie kuna binti mmoja alinidanganyaga ni bikira lkn baadaye wakati kila nikitaka kuduu anakataa nikagundua anaogopa aibu kwani wala hakuwa bikira. Hawa mabinti wanaanza mapenzi mapema yahani 13yrs tayari ukikuta binti kwenye 20's ni bikira jiulize mara 2 labda anakasoro.

dah!Yeye Ana Miaka 22
Sasa Sijui Iko Vp Hii Kama from 13yrs
Mh!aisee Ari Inatisha!
 
Back
Top Bottom