Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
vikao vimeshakula nusuSioni dalili za el nino wala nini?
Nasikia kuna bil 700 zilishatengwa kwa ajili ya el nino.
Nasikia harufu ya upigaji wa hali ya juu.
Hahaa bajeti inatengwa kulingana na walivyogawana.Fedha yake ishatumika kabla ya kutengwa
SwadaktaaaHahaa bajeti inatengwa kulingana na walivyogawana.
Walimu nao wamestuka huku vijijini wanafosi watoto wote form two na form four wahamie shuleni wanaita kambi! Mzazi achangie chakula na fedha kwa ajiri ya kambi! Hapo walimu uhakika wa maharage, pesa kidogo. na unga.Cha ajabu mtoto anaenda kulala darasani chini! Unaambiwa hapo atakuwa timamu kabisa kufanya mtihani! Na walimu wa aina hiyo wanaenda kupewa lesseni waendelee kufanya kazi hiyohiyoSwadaktaaa
Tayari watu wameshiba, kila mtu na urefu wa kamba yake.Sioni dalili za el nino wala nini?
Nasikia kuna bil 700 zilishatengwa kwa ajili ya el nino.
Nasikia harufu ya upigaji wa hali ya juu.
Na kitengo cha maafa kipo ofisi ya Mwigulu NchembaWalishagawana zote tayari mbona😂
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 nimetoka kuongea hilii .....hawa jamaa wanaomba inyeshe Tu walambe vizuriHapo Maombi yao ni inyeshe Moja kubwa mkeka utili
Nchi hiî ni Mungu mwenyewe ndiye atakayetunusuru na huu uchafu unaoendelea serikalini vinginevyo tumenasaSioni dalili za el nino wala nini?
Nasikia kuna bil 700 zilishatengwa kwa ajili ya el nino.
Nasikia harufu ya upigaji wa hali ya juu.
DahMkuu unauliza makofi polisi?!
Awamu ya mama hii kula kwa urefu wa kamba yako!
Mwanza huku Elnino imeanza mida hii.Tokea mwezi wa
Wa 9 tunangojea hio mvua mpaka sasa ni mvua za kawaida tu zinaonyesha.
Wamesha haribu ratiba za watoto huko shuleni kwa wingi wa vitisho kumbe ni ajenda ya kula pesa.