Zamaulid
Platinum Member
- May 25, 2009
- 20,320
- 16,768
Huku kwetu hata hizo mvua za kawaida sijaziona!Tokea mwezi wa
Wa 9 tunangojea hio mvua mpaka sasa ni mvua za kawaida tu zinaonyesha.
Wamesha haribu ratiba za watoto huko shuleni kwa wingi wa vitisho kumbe ni ajenda ya kula pesa.