Kutenga bajeti sio shida shida ni uaminifu kwenye matumizi yakeSioni dalili za el nino wala nini?
Nasikia kuna bil 700 zilishatengwa kwa ajili ya el nino.
Nasikia harufu ya upigaji wa hali ya juu.
Kutenga bajeti sio shida shida ni uaminifu kwenye matumizi yakeSioni dalili za el nino wala nini?
Nasikia kuna bil 700 zilishatengwa kwa ajili ya el nino.
Nasikia harufu ya upigaji wa hali ya juu.
uemsahau kuna watu wamesema kuna sijui maandamano kwa hio ndio mapesa ya kukodi silaha na wauwaji tooka nje ya nchi kujiandaaSioni dalili za el nino wala nini?
Nasikia kuna bil 700 zilishatengwa kwa ajili ya el nino.
Nasikia harufu ya upigaji wa hali ya juu.
Hawa watu sio binadamu.Tokea mwezi wa
Wa 9 tunangojea hio mvua mpaka sasa ni mvua za kawaida tu zinaonyesha.
Wamesha haribu ratiba za watoto huko shuleni kwa wingi wa vitisho kumbe ni ajenda ya kula pesa.
Unatenga pesa kwa kitu ambacho hakipo?Kutenga bajeti sio shida shida ni uaminifu kwenye matumizi yake
Hiyo ni sawa ndugu hakuna upigaji hapo chqngia kwa maendeleo ya kijanaWalimu nao wamestuka huku vijijini wanafosi watoto wote form two na form four wahamie shuleni wanaita kambi! Mzazi achangie chakula na fedha kwa ajiri ya kambi! Hapo walimu uhakika wa maharage, pesa kidogo. na unga.Cha ajabu mtoto anaenda kulala darasani chini! Unaambiwa hapo atakuwa timamu kabisa kufanya mtihani! Na walimu wa aina hiyo wanaenda kupewa lesseni waendelee kufanya kazi hiyohiyo
Hakuna cha Elininyo wala elinyinyo
Mkuu huna uelewa wa Elnino,elnino ni phenomenon ambayo ni universal,hii hali tunayopitia ni elnino impacts pia,kosa la serikali ni kuaminisha watu juu ya uwepo wa mvua na mafuriko.El Nino set to intensify before peaking in December, UN warns
The World Meteorological Organization added that this naturally occurring weather phenomenon could be the strongest since at least 1950.
Issued on: 08/10/2026 - 08:09
![]()
France 24 - International breaking news, top stories and headlines
Breaking news and world news from France 24 on Business, Sports, Culture. Video news. News from the US, Europe, Asia Pacific, Africa, Middle East, Americawww.france24.com
Pumbu la mama yakoUkiona mtu anabwabwaja, ni vile tu hayupo jikoni.
Mkuu huna uelewa wa Elnino
Wewe mwenye uelewa kuhusu Elinino nakuuliza:kosa la serikali ni kuaminisha watu juu ya uwepo wa mvua na mafuriko.
Ziko wapi?Wewe mwenye uelewa kuhusu Elinino nakuuliza:
Nitajie Elinino zilizopiga nchi yetu kuanzia 1980s na 2000s ambazo hazikuwa na mvua plus mafuriko.
Mbona hata maendeleo hamna kitu watoto wetu hawafundishwi mnataka muwakaririshe causes za ngoni siku moja ili wapate D nyie mnawe mikonoHiyo ni sawa ndugu hakuna upigaji hapo chqngia kwa maendeleo ya kijana
Zi wapi?Mbona hata maendeleo hamna kitu watoto wetu hawafundishwi mnataka muwakaririshe causes za ngoni siku moja ili wapate D nyie mnawe mikono
Washagawana na mvua bado hazijaanza hahahaWalishagawana zote tayari mbona😂
Unasemaje?Zi wapi?
Jua kali sana linagonga utosini labda el nini ya upepo wa hapa na sio mvuaMwanza huku Elnino imeanza mida hii.
Au sioUkiona mtu anabwabwaja, ni vile tu hayupo jikoni.
Michongo ya watu hiyo ,subiri kuanzia mwenzi wa 12 uone Mimansions inaota kama UYOGA Mbweni JKT.Sioni dalili za el nino wala nini?
Nasikia kuna bil 700 zilishatengwa kwa ajili ya el nino.
Nasikia harufu ya upigaji wa hali ya juu.
Huu mwezi kuna manyunyu ya hapa na pale na mawingu ya hapa na pale yakisindikizwa na jua kali kinoma na tuviradi twa uongo na ukweli, hakuna mvua itanyesha ingawa kuna kamvua katanyesha tumanyunyu hapo mwishoni mwa mwezi ila mpaka tarehe 23 mwezi huu ni empty hakuna mvua ni jua kali kinomanomaWewe mwenye uelewa kuhusu Elinino nakuuliza:
Nitajie Elinino zilizopiga nchi yetu kuanzia 1980s na 2000s ambazo hazikuwa na mvua plus mafuriko.