Bil 700 kutengwa kwa ajili ya el nino ni upigaji au?

Tokea mwezi wa
Wa 9 tunangojea hio mvua mpaka sasa ni mvua za kawaida tu zinaonyesha.
Wamesha haribu ratiba za watoto huko shuleni kwa wingi wa vitisho kumbe ni ajenda ya kula pesa.
Huku kwetu hata hizo mvua za kawaida sijaziona!
 
Wewe mwenye uelewa kuhusu Elinino nakuuliza:

Nitajie Elinino zilizopiga nchi yetu kuanzia 1980s na 2000s ambazo hazikuwa na mvua plus mafuriko.
Elninyo ni terminology tu kama katrina ,hidaya(kwenye vimbunga) na ndiyo maana enzi hizo tuliimba ,mvua njoo katarina usije mvua njoo katarina usije.

ELninyo iliyopewa promo bongo ni ya 1998 ambayo ndiyo mvua ilikuwa kubwa ,lakini hata miaka ya 2018-2016 mvua za masika zilileta madhara makubwa tu kama ya elninyo ya 1998 ,kuanzia 2019 mpaka sasa mvua zimepungua sana na hata hiyo Elninyo ya WAHUNI kupiga pesa na kwenda KUJENGA MBWENI JKT hakuna kipya kitakachotokea na ndiyo maana washaanza kuzipiga kwa kujenga Daraja la kupita GUTA kwa Bilioni 24.
 
Sioni dalili za el nino wala nini?


Nasikia kuna bil 700 zilishatengwa kwa ajili ya el nino.

Nasikia harufu ya upigaji wa hali ya juu.
Hivi watu wengine vichwa vyenu vimeparalyse au ni nini

Umeambiwa hii el nino itaanza October na tunaweza tukaenda nayo hadi January 2027, leo ndokwanza tupo October 8 tayari umekuja kuandika uharo hapa au ndo ili mradi nawewe uanzishe uzi
 
Sasa zinatengwa kwa mgao wa Kila mtu au mimi nimechelewa sana๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Impact kubwa huonekana kwenye maeneo yanayopakana na bahari ya Pacific. Hii ngoma hupigwa huko, huku majuha huimba na kucheza bila kujua.
Changamoto kubwa siku hizi watu wasiojua kitu au kutumia akili wana influence kubwa sana.
 
Mbona kiswahili kilishaanza kubadilika.
Wanasema hivi
"Msikariri el nino sio mvua nyingi tu inaweza kuwa ukame au vimbunga"
Mimi najua El nino ni abnormal rainfall...nikimaanisha wingi na hatari ya mafuriko na uharibifu.
 
El nino yenyewe haipo. Waliitangaza sana ili wapige hizo hela
 
Mpaka Sasa hakuna habari el nino tena. Ila walitenga bil 700 na wameshazitafuna.

El nino imepeperushwa na Mungu. Warudishe pesa zetu majambazi hawa wakubwa wa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ