Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli! Ukondoo wetu Watanzania umewapa ujasiri wa kututukana Watanzania kwa ujumla wetu.We, ourselves and us.
UCCM, uCCM na uCCM! UCCM unaipeleka nchi kubaya!Umimi, ubinafsi, wizi na kukosa uzalendo.
CCM imejengwa katika msingi ya ulaghai na rushwa hivyo si ajabu kuwa adui mkubwa wa CCM ni uadilifu.Manake huwezi kuweka misingi bora, taasisi bora wala mifumo imara ukikosa watu wa namna hii.
Sasa wewe una uadilifu gani?Baada ya CCM kuitangazia dunia...
Inaaminika kuwa ili taifa liendelee vitu vinne vinahitajika; watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora, Je Watanzania tunachokosa ni nini?
- Kwamba Watanzania hatuna mwenye uwezo wa kusimamia uendeshaji wa chombo kama Bandari kwa uadilifu!
- Kwamba Watanzania kwa ujumla wetu ni watu wasio na uaminifu katika utendaji wa kazi popote pale tulipo,
- Kwamba Watanzania kwa tabia sisi ni wadokozi, wala rushwa na wasiowajibika kwa matendo yetu.
- Kwamba Watazania kwa desturi zetu si binadamu walio na busara wala hekima katika kulinda kilicho chetu.
- Kwamba Watanzania hatuna ari ya kujiletea maendelo peke yetu bila kusimamiwa na wageni kutoka nje.
- Kwamba sisi Watanzania ni wavivu wa kufikiri tusio na ubunifu unaoendana na kasi ya mabadiliko duniani,
- Kwamba peke yetu, sisi Watanzania ni viumbe tofauti kabisa tuliojikuta labda hapa duniani kwa bahati mbaya tu.
- Kwamba pamoja na kujaaliwa neema lukuki ya mali asili sisi peke yetu hatuna fikra ya kujikwamua kutoka lindi la umasikini.
Kama chama tawala CCM kinakiri na kuitangazia dunia kwamba Tanzania hakuna mwenye uwezo, sifa wala busara, je tutegemee nini?
Sifa zote wanazozitaja kupelekea kuuzwa kwa bandari ndio sifa hizo hizo viongozi wao wengi ndani ya chama na ndani ya serikali wanazo.
Sasa shangaa walivyo mataahira. Baada ya kuitangazia dunia hivyo bado wana uhalali gani wa kuendelea kung'ang'ania madaraka?
Na Watanzania kwa ukondoo wao badala ya kuwawajibisha, wanawachekea tu na kupiga vigelegele huku wanaibiwa mchana kweupe.
Kwa nini kwa mfano tusiwatafute watu nje ya CCM wenye hizo sifa wanazokiri hawana watuongoze? Ya nini CCM kung'ang'ania madaraka?
Tumeanza na bandari na zipo tetesi kwamba yapo mengi yako jikoni yanapikwa na CCM, je tunarudi utumwani? Sasa tulidai uhuru wa nini?
Hivi kati ya Watanzania 60,000,000 wanaCCM ni wangapi? Sijui jamii za Kimataifa zinaiangaliaje hiyo CV mpya tuliyobebeshwa na CCM!
Shida Sio ccm,shida ni mfumo wetu wa malezi,kwani chadema nao hawataki kuibaKwa kifupi CCM imekiri kuwa ni chama cha kifisadi na kimejaa viongozi na wanachama majizi na mafisadi!
Sio kitu kigeniJe dawa ni kuwaleta wageni au ni kuwachukulia hatua viongozi limbukeni. Tunashindwa wapi?
Je mlezi wa Watanzania kwa ujumla wao ni nani? Kumbuka katoto kanazaliwa leo kanaikuta CCM madarakani, kanakua CCM iko madarakani, kanaaanza shule CCM iko madarakani, anamaliza shule CCM iko madarakani, anaajiriwa CCM iko madarakani, anaoa CCM iko madarakani, anaanza kuwapata watoto wake CCM iko madarakani, anastaafu CCM iko madarakani...Shida Sio ccm,shida ni mfumo wetu wa malezi,kwani chadema nao hawataki kuiba
Bila shaka huna habari wapo Watanzania wanaotambulika kwa uadilifu wao nje ya Tannzania. Baada ya CCM kuutangazia ulimwengu kwamba Watanzania si waadilifu, huyo Mtanzania anajisikiaje na wenzake kazini wanamuonaje?Sasa wewe una uadilifu gani?
Kama akina nani haoBila shaka huna habari wapo Watanzania wanaotambulika kwa uadilifu wao nje ya Tannzania. Baada ya CCM kuutangazia ulimwengu kwamba Watanzania si waadilifu, huyo Mtanzania anajisikiaje na wenzake kazini wanamuonaje?
Ulipewa akili, itumie
Hiyo miaka 20, serikali ya CCM ilikuwa usingizini au viongozi walikuwa wanafaidika na wizi huo. Kwa nini CCM isijiuzulu? Kwa nini izidi kung'ang'ania madaraka?Nimemshangaa sana Faiza Foxy Leo anasema TICTS imetuzurumu kwa zaidi ya Miaka ishirini, na bado inatuchekea!!
Watendaji wakuu wa Bandari wanateuliwa na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM hivyo mpaka ifikie wafanya kazi wote wanakuwa wezi, lazima kuna mkono wa serikali ya CCM!Akasisitiza watendaji wa bandari ni wezi ndiyo maana imefaa ikabidhiwe DPW!!!
Halafu kwa kutetea na kuficha mipango yao ovu ya kuuza nchi wanatubebesha Watanzania wote sifa zao hizo za uzembe, wizi na ufisadi Watanzania wote kwa ujumla wetu. Hapana, lazima safari hii tuseme imetosha. Wametudhalilisha vya kutosha.Tatizo ni CCM na serikali yao tangu uhuru mwaka 1961..
Hawa ndio waliotengeneza mifumo hii ya uzembe, wizi, ufisadi na yanayofanana na haya na wanaendelea kuitumia kwa manufaa ya matumbo yao. Uthibitisho ni mgogoro huu wa mkataba wa uuzaji wa bandari zetu kwa waarabu wa DP WORLD toka Dubai...
Cha ajabu hawa wajinga wanadhani tabia hizi zinaweza kubadilishwa kwa kuwapa au kuwauzia na kuwakabidhi wageni toka nchi zingine taasisi na mali zetu wa wazi - develop, wazi - manage na kuzi - operate..!!
Lakini sisi wengine twasema mfumo wetu huu tulionao sasa wa kujitawala na kuendesha mambo yetu kama nchi umesha prove big falure...
DAWA ni moja tu. Kutengeneza mifumo mipya ya kisiasa na utawala Kwa kukaa chini kama taifa na kukubaliana namna njema na Bora ya kujitawala na makubaliano haya ndiyo tunayoyaita katiba mpya..
we nenda kakunwe hapo panapokuwasha utulie.Baada ya CCM kuitangazia dunia...
Inaaminika kuwa ili taifa liendelee vitu vinne vinahitajika; watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora, Je Watanzania tunachokosa ni nini?
- Kwamba Watanzania hatuna mwenye uwezo wa kusimamia uendeshaji wa chombo kama Bandari kwa uadilifu!
- Kwamba Watanzania kwa ujumla wetu ni watu wasio na uaminifu katika utendaji wa kazi popote pale tulipo,
- Kwamba Watanzania kwa tabia sisi ni wadokozi, wala rushwa na wasiowajibika kwa matendo yetu.
- Kwamba Watazania kwa desturi zetu si binadamu walio na busara wala hekima katika kulinda kilicho chetu.
- Kwamba Watanzania hatuna ari ya kujiletea maendelo peke yetu bila kusimamiwa na wageni kutoka nje.
- Kwamba sisi Watanzania ni wavivu wa kufikiri tusio na ubunifu unaoendana na kasi ya mabadiliko duniani,
- Kwamba peke yetu, sisi Watanzania ni viumbe tofauti kabisa tuliojikuta labda hapa duniani kwa bahati mbaya tu.
- Kwamba pamoja na kujaaliwa neema lukuki ya mali asili sisi peke yetu hatuna fikra ya kujikwamua kutoka lindi la umasikini.
Kama chama tawala CCM kinakiri na kuitangazia dunia kwamba Tanzania hakuna mwenye uwezo, sifa wala busara, je tutegemee nini?
Sifa zote wanazozitaja kupelekea kuuzwa kwa bandari ndio sifa hizo hizo viongozi wao wengi ndani ya chama na ndani ya serikali wanazo.
Sasa shangaa walivyo mataahira. Baada ya kuitangazia dunia hivyo bado wana uhalali gani wa kuendelea kung'ang'ania madaraka?
Na Watanzania kwa ukondoo wao badala ya kuwawajibisha, wanawachekea tu na kupiga vigelegele huku wanaibiwa mchana kweupe.
Kwa nini kwa mfano tusiwatafute watu nje ya CCM wenye hizo sifa wanazokiri hawana watuongoze? Ya nini CCM kung'ang'ania madaraka?
Tumeanza na bandari na zipo tetesi kwamba yapo mengi yako jikoni yanapikwa na CCM, je tunarudi utumwani? Sasa tulidai uhuru wa nini?
Hivi kati ya Watanzania 60,000,000 wanaCCM ni wangapi? Sijui jamii za Kimataifa zinaiangaliaje hiyo CV mpya tuliyobebeshwa na CCM!
kumbe nawe zuzuNa kwamba hata wao wapo kwenye nafasi zao kwaajili ya matanuzi tu hawana majukumu zaidi ya kuzurura na kkudumbua kodi zetu