Bila aibu wala woga, CCM yaitangazia dunia kuwa hakuna Mtanzania mwenye uadilifu!

Kwa kifupi CCM imekiri kuwa ni chama cha kifisadi na kimejaa viongozi na wanachama majizi na mafisadi!
CCM na uadilifu wapi na wapi! Ni kama mafi na mafuta.
 
We, ourselves and us.
Ni kweli! Ukondoo wetu Watanzania umewapa ujasiri wa kututukana Watanzania kwa ujumla wetu.
Umimi, ubinafsi, wizi na kukosa uzalendo.
UCCM, uCCM na uCCM! UCCM unaipeleka nchi kubaya!
Manake huwezi kuweka misingi bora, taasisi bora wala mifumo imara ukikosa watu wa namna hii.
CCM imejengwa katika msingi ya ulaghai na rushwa hivyo si ajabu kuwa adui mkubwa wa CCM ni uadilifu.
 
Tumefanyika kituko cha ulimwengu
Sijui jamii za Kimataifa zinaiangaliaje hiyo CV mpya tuliyobebeshwa kwa ujumla wetu na CCM!.

Hivi kati ya Watanzania 60,000,000 wanaCCM ni asilimia ngapi?
 
Reasoning ya huyo Maza ni below average!
 
Sasa wewe una uadilifu gani?
 
Sasa kipi Cha uongo hapo,niambie baada ya Uhuru nchi gani ya kiafrica Ina maendeleo
 
Nimemshangaa sana Faiza Foxy Leo anasema TICTS imetuzurumu kwa zaidi ya Miaka ishirini, na bado inatuchekea!!! Akasisitiza watendaji wa bandari ni wezi ndiyo maana imefaa ikabidhiwe DPW!!!
===
Haya mambo haya....! Wasidhani yanaishia mtandaoni. Warekebishe kama Mama alisema Kuna mambo yalipitishwa na wahusika kimakosa na wahusika walipoulizwa wakatoa macho!
 
Shida Sio ccm,shida ni mfumo wetu wa malezi,kwani chadema nao hawataki kuiba
Je mlezi wa Watanzania kwa ujumla wao ni nani? Kumbuka katoto kanazaliwa leo kanaikuta CCM madarakani, kanakua CCM iko madarakani, kanaaanza shule CCM iko madarakani, anamaliza shule CCM iko madarakani, anaajiriwa CCM iko madarakani, anaoa CCM iko madarakani, anaanza kuwapata watoto wake CCM iko madarakani, anastaafu CCM iko madarakani...
 
Sasa wewe una uadilifu gani?
Bila shaka huna habari wapo Watanzania wanaotambulika kwa uadilifu wao nje ya Tannzania. Baada ya CCM kuutangazia ulimwengu kwamba Watanzania si waadilifu, huyo Mtanzania anajisikiaje na wenzake kazini wanamuonaje?

Ulipewa akili, itumie
 
Tatizo ni CCM na serikali yao tangu uhuru mwaka 1961..

Hawa ndio waliotengeneza mifumo hii ya uzembe, wizi, ufisadi na yanayofanana na haya na wanaendelea kuitumia kwa manufaa ya matumbo yao. Uthibitisho ni mgogoro huu wa mkataba wa uuzaji wa bandari zetu kwa waarabu wa DP WORLD toka Dubai...

Cha ajabu hawa wajinga wanadhani tabia hizi zinaweza kubadilishwa kwa kuwapa au kuwauzia na kuwakabidhi wageni toka nchi zingine taasisi na mali zetu wa wazi - develop, wazi - manage na kuzi - operate..!!

Lakini sisi wengine twasema mfumo wetu huu tulionao sasa wa kujitawala na kuendesha mambo yetu kama nchi umesha prove big falure...

DAWA ni moja tu. Kutengeneza mifumo mipya ya kisiasa na utawala Kwa kukaa chini kama taifa na kukubaliana namna njema na Bora ya kujitawala na makubaliano haya ndiyo tunayoyaita katiba mpya..
 
Bila shaka huna habari wapo Watanzania wanaotambulika kwa uadilifu wao nje ya Tannzania. Baada ya CCM kuutangazia ulimwengu kwamba Watanzania si waadilifu, huyo Mtanzania anajisikiaje na wenzake kazini wanamuonaje?

Ulipewa akili, itumie
Kama akina nani hao
 
Nimemshangaa sana Faiza Foxy Leo anasema TICTS imetuzurumu kwa zaidi ya Miaka ishirini, na bado inatuchekea!!
Hiyo miaka 20, serikali ya CCM ilikuwa usingizini au viongozi walikuwa wanafaidika na wizi huo. Kwa nini CCM isijiuzulu? Kwa nini izidi kung'ang'ania madaraka?
Akasisitiza watendaji wa bandari ni wezi ndiyo maana imefaa ikabidhiwe DPW!!!
Watendaji wakuu wa Bandari wanateuliwa na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM hivyo mpaka ifikie wafanya kazi wote wanakuwa wezi, lazima kuna mkono wa serikali ya CCM!
 
Halafu kwa kutetea na kuficha mipango yao ovu ya kuuza nchi wanatubebesha Watanzania wote sifa zao hizo za uzembe, wizi na ufisadi Watanzania wote kwa ujumla wetu. Hapana, lazima safari hii tuseme imetosha. Wametudhalilisha vya kutosha.
 
we nenda kakunwe hapo panapokuwasha utulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…