bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
WazaziJe mlezi wa Watanzania kwa ujumla wao ni nani? Kumbuka katoto kanazaliwa leo kanaikuta CCM madarakani, kanakua CCM iko madarakani, kanaaanza shule CCM iko madarakani, anamaliza shule CCM iko madarakani, anaajiriwa CCM iko madarakani, anaoa CCM iko madarakani, anaanza kuwapata watoto wake CCM iko madarakani, anastaafu CCM iko madarakani...
Wanakemea wizi, ufisadi na ujambazi wa maisha na mali za umma!Shida Sio ccm,shida ni mfumo wetu wa malezi,kwani chadema nao hawataki kuiba
🖕kumbe nawe zuzu
Wakiwa nje ya mfumoWanakemea wizi, ufisadi na ujambazi wa maisha na mali za umma!
Wapewe nafasi tuwapime!Wakiwa nje ya mfumo
Mbona unawataja mawaziri tu!! Serikali nzima akiwemo Rais , mbona Kenyatta yupo tukimwomba awe Rais wetu wa mkataba atakataa?Ni kweli, tumeitangazia dunia kuwa sisi sio lolote katika utendaji. Wanasubiri nini kuleta mawaziri toka mataifa mengine watuongoze..
Sisi watanzania ni waoga sana, hivyo hatuna uwezo wa kuwabana watawala kwa namna yoyote ile...huu ndio ukweliJe unaamini kuwa sisi Watanzania ni viumbe tofauti na binadamu wengine? Mifumo hiyo itawekwa na nani? Je kuna mfumo wowote hivi sasa unaoruhusu wizi na ulaji rushwa? Kama ni viongozi ndio wahusika, kwa nini hatuwabani?
Aliyezindika Nchi alitumia zindiko Kali sana.Nakumbuka Paul Kagame alisema kuwa alipewa bandari ya Dar atailisha Tanzania Bure.unajiuliza yeye angefanyeje?Baada ya CCM kuitangazia dunia...
- Kwamba Watanzania hatuna mwenye uwezo wa kusimamia uendeshaji wa chombo kama Bandari kwa uadilifu!
- Kwamba Watanzania kwa ujumla wetu ni watu wasio na uaminifu katika utendaji wa kazi popote pale tulipo...
Mbona huku ni kutudhalilisha Watanzania kwa ujumla wetu?Shida ya sisi watanzania ni kukosa uzalendo na uadilifu.
Tafadhali sema mwana CCM ukimwajiri anawaza kukuibia TU! Kwa bahati mbaya huu ukoo wa panya ndio huo huo umeng’ang’ania madaraka nchini kwa kutumia dola.mtanzania ukimwajiri anawaza kukuibia TU!! Wameniliza kwa kweli.
Kweli kabisa! Mbona Magufuli aliweza kudhibiti kwa kiwango kikubwa?Hizi tabia tunazo kweli. Lakini tunapaswa kuweka mifumo ya kuwadhibiti watu ili walete ufanisi.
Hata huku ndani wapo, ila sasa nafasi kama ni za teuzi anayeteua atajuaje watu wote 60M huku hakuna mifumo ya kuwajua professionals wote?Mbona wako Watanzania wengi tu huko nje wanasifika kwa utendaji wao na uwajibikaji? Kwa nini hilo halipo hapa ndani ya nchi, je mchawi wetu ni nani?
Umesema hizi tabia kweli tunazo ! Sasa unategemea tujiwekee hiyo mifumo na sheria kama zile za China 🇨🇳 ?!!Hizi tabia tunazo kweli. Lakini tunapaswa kuweka mifumo ya kuwadhibiti watu ili walete ufanisi.