Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo chachaAsilimia kubwa wanapata wakiwa kwenye ndoa
Hili lina kaukweli naanza kukuelewaKabla ya ndoa kufungwa,watarajiwa hulazimika kufanya vipimo vya afya zao hususan ukimwi.Hii imekuwa ni kanuni na imezoeleka hivyo.
Kutokana na yanaondelea huko ndoani watu kufanyiani mambo ya ajabu,kujeruhiana,kudhalilishana na hata wengine kutoana uhai.
Nashauri mamlaka husika ziweke sheria kuwe na ulazima sasa wa wanandoa watarajiwa kupima afya zao za akili kabla ya kuoana na kuanza kuishi pamoja.
Na itakapothibitika mmoja kati yao ana magonjwa ya akili,basi ndoa isifungwe ili kuepusha kadhia nilizoanisha hapo juu.
Ndoa ni jambo jema hivyo watu wanatakiwa waishi kwa upepo na amani. Ukichunguza vizuri utagundua kuna watu hawakupaswa kuoa ama kuolewa kwa namna akili zao zilivyo.
Jeju Tz
Uko sahihi kabisa. Ni maumivu na majeraha mengi yenye kuumiza moyoKabla ya ndoa kufungwa,watarajiwa hulazimika kufanya vipimo vya afya zao hususan ukimwi.Hii imekuwa ni kanuni na imezoeleka hivyo.