Bila Cheti afya ya akili ndoa isifungwe!

Cheti cha afya ya akili Sio sawa na cheti cha form 4 kwamba Kwa kuwa ulipataga Division one mwaka 96 basi hata mwaka 2090 kitasomeka the same.

Afya ya akili Leo unaweza kuwa sober ukapata tatizo kesho
 
Kweli aisee.
Kwa mfano, Kuna watu wana ma personality disorders huko kama Narcisism, wanakuua aspects zote za maisha smoothly, na hamna mtu atajua wala hata kunusaa mpaka unaingia kaburini.
 
Hili lina kaukweli naanza kukuelewa
 
Uko sahihi kabisa. Ni maumivu na majeraha mengi yenye kuumiza moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…