bolivia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2021
- 3,083
- 5,179
Ttzo linakuja alisoma kitu gani au ndo mambo? Ya HRMdogo wangu anasota tangu 2018 hadi leo yaani. Namuonea huruma bora angesoma ualimu. Ila ualimu nao siku hizi sio deal tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ttzo linakuja alisoma kitu gani au ndo mambo? Ya HRMdogo wangu anasota tangu 2018 hadi leo yaani. Namuonea huruma bora angesoma ualimu. Ila ualimu nao siku hizi sio deal tena.
Ualimu pia ni sehem ya gavoooNatamani kuandika vingi lakini sijui nianzaje, anyway kuna connection na bahati ya mtu pia, alhamdullilah nilimaliza chuo mwaka Jana mwezi 8, kufika mwezi wa 10 nikaajiriwa na gavoooo.
Mfano kazi gani mkuu?Kuna baadhi ya kazi hazihitaji connection na zipo nyingi tuu ila wajuzi wachache mno au hawapo kabisa... Muhimu shule iwe ya kutosha kichwani na jitahidi mwanao asisomee ajira za halaiki
Nimezitaja baadhiMfano kazi gani mkuu?
Tupo wa tangu 2016 ndugu yanguMdogo wangu anasota tangu 2018 hadi leo yaani. Namuonea huruma bora angesoma ualimu. Ila ualimu nao siku hizi sio deal tena.