Natamani kuandika vingi lakini sijui nianzaje, anyway kuna connection na bahati ya mtu pia, alhamdullilah nilimaliza chuo mwaka Jana mwezi 8, kufika mwezi wa 10 nikaajiriwa na gavoooo.
Kuna baadhi ya kazi hazihitaji connection na zipo nyingi tuu ila wajuzi wachache mno au hawapo kabisa... Muhimu shule iwe ya kutosha kichwani na jitahidi mwanao asisomee ajira za halaiki