Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Inawezekana kabisa but there should be a level playing field; na hiyo ikiwepo inaweza kumfanya akawa great maana atapata wabunge wa kumsaidiaMpinzani wa Samia atoke wapi?
Samia ni levels nyingine kabisa,
Wao wawe wanakula jasho la nani? PumbavuWanyonge wanataka kusikia kodi inatoka kwa kundi fulani la watu tu. STUPIDO.
Hahaha. Naona umewashushia nyundo.Wao wawe wanakula jasho la nani? Pumbavu
TRA wanazembea Sana , makusanyo yalikuwa yanavuka kabisa watu hawadai risiti na wafanyabiashara hawatoi risiti..Kwa spidi hii muda si mrefu tutafikia kukusanya trilion 2.5 kwa mwezi. Mipango ya kiuchumi ya serikali ya awamu ya sita chini ya Mama Samia inatoa fursa mzuri kwa wajasiria Mali wakubwa kwa wadogo,wakulima n.k
Hivi unaongea nini Wewe? Unaelewa ulichoandika? Value of money na exchange rates vinahusianaje na ongezeko la makusanyo?Nime jaribu kutafakari kwa kina juu ya maongezeko haya maana maongezeko ya tanzania miaka baada ya miaka yamekuwa ni makubwa sana let say kuanzia kwa mkapa JE MAONGEZEKO HAYA HAYANA TAFSIRI YA KWAMBA NI SHILINGI YETU NDIYO INAYODONDOKA AU INA LOOSE PURCHASING POWER? EBU WADAU NISAIDIENI HAPA
Lakini kuna wale ambao hawawezi kusukuma kodi kwa watu wengine, hao wanaumia sana. Chukulia mkulima wa kawaida (peasant), bei ya mazao anapangiwa na wanunuzi lakini bidhaa anazonunua nazo anapangiwa bei na wauzaji. Hana namna ya kusukuma ongezeko la kodi kwa mtu mwingine.Nafurahia kodi hizo kwa sababu SOTE KWA PAMOJA TUNAZILIPA
Ameomba umsaidie, sasa umemsaidia?Hivi unaongea nini Wewe? Unaelewa ulichoandika? Value of money na exchange rates vinahusianaje na ongezeko la makusanyo?
Hakuna kivipi ? Hizi ni nini? πKamba tupu
Hakuna biashara nchini za kusapoti makusanyo hayo
Ukija huku mtaani ukatueleza upuuzi wako huu juu ya huyo mama yako tutakupiga mawe.Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara Rais Samia aweka rekodi mpya Ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 1.9T mwezi Sept 2021,kazi iendelee kwa kasi & weledi zaidi,
==================================
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi,Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali serikali kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma "Presumptive Tax accessment " wakati wanazo tayari "Tax Clearance " toka kwa haohao wanaowadai tena,Kitendo hiki Rais Samia alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati "
Wakati Serikali ya Rais Samia imepanga kutumia Jumla Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.9trl kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
#Kazi iendelee kwa kasi & Weledi zaidi
Be blessed & Happy Sunday
=============================
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1961007
Jibu ni havihusiani,angehoji tija ya makusanyo labda in relation to inflation labdaAmeomba umsaidie, sasa umemsaidia?
Sasa kupanda bei kunahusianaje na makusanyo? Jibu rahisi ni kwamba kupanda bei kwa vitu ni alama ya kukua kwa uchumi kwamba demand ipo na wafanyabiashara watapata faida..Ukija huku mtaani ukatueleza upuuzi wako huu juu ya huyo mama yako tutakupiga mawe.
Sabuni zimepanda Bei
Mafuta ya kula yamepanda Bei
Vifurushi vimependa
Nyama imepanda Bei
Pembe jeo imepanda Bei
Tozo
Makato rukuki
Na kila aina ya dhuruma kwa mgongo wa neno Kodi na uzalendo.
Nasema hivi huu upuuzi wako naomba uishie huku huku usiulete mtaani, utapigwa mawe nawakwambia.
Tozo na Kodi wapi na wapi wewe kiazi mnatata?Kampeni za kitoto sana.
Mnawakamua walalahoi tozo mnasema makusanyo kodi.
Tume zilizopewa kazi zimeleta majibu!??
Je hizo za mabeberu ndio mnaweka mifukoni?!
Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
tusileteane usanii mwezi sept ni mwezi wa kulipa makadilio ya kodi robo ya tatu, tuone oktoba watakusanya ngapiBila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara Rais Samia aweka rekodi mpya Ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 1.9T mwezi Sept 2021,kazi iendelee kwa kasi & weledi zaidi,
==================================
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi,Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali serikali kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma "Presumptive Tax accessment " wakati wanazo tayari "Tax Clearance " toka kwa haohao wanaowadai tena,Kitendo hiki Rais Samia alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati "
Wakati Serikali ya Rais Samia imepanga kutumia Jumla Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.9trl kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
#Kazi iendelee kwa kasi & Weledi zaidi
Be blessed & Happy Sunday
=============================
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1961007
Kupanda bei unaona ni sababu za kumpiga mawe huyo jamaa?. Vitu vinapanda bei USA kwenye uchumi namba moja duniani wewe unashangaa Tanzania!!?.Ukija huku mtaani ukatueleza upuuzi wako huu juu ya huyo mama yako tutakupiga mawe.
Sabuni zimepanda Bei
Mafuta ya kula yamepanda Bei
Vifurushi vimependa
Nyama imepanda Bei
Pembe jeo imepanda Bei
Tozo
Makato rukuki
Na kila aina ya dhuruma kwa mgongo wa neno Kodi na uzalendo.
Nasema hivi huu upuuzi wako naomba uishie huku huku usiulete mtaani, utapigwa mawe nawakwambia.
Ulikatazwa kutoza tozo? Mjinga kama wewe hujui chochote Kuhusu kodi na tozo..mtoa mada huna akili huoni izo tozo kwa jembe jpm zilikuwepo kuwa na akili angalau za kufikria
mjnga mama yako mzaziUlikatazwa kutoza tozo? Mjinga kama wewe hujui chochote Kuhusu kodi na tozo..
Ili upate elimu katume pesa leo au katoe alafu angalia mchanganuo utaona sehemu ya VAT na tozo za serikali.Tozo zinaenda taasisi husika na wala sio TRA..
Kwa msaada zaidi hapo pameandikwa Excise duty na costom processing fee ndio TRA wanakusanya nyingine zote zinaenda taasisi husika.
Jielimishe kabla ya kuropoka we msukule wa Mwendazake π
View attachment 1962630
sibishani na mashogamjnga mama yako mzazi
Data zilikuwa zonapikwa na Mwendazake zake sio mama..Cha mwisho serikali hii imekuwa na kasumba kubwa ya kupika data.
Mfano; Garson msigwa alisema walio pata chanjo ni zaidi ya laki nne, siku tatu baadae taarifa kutoka wizara ya afya ikasema waliopata chanjo ni 382000.
Garson msigwa alisema ujenzi wa reli ya SGR umefikia zaidi ya 90% miezi miwili mbeleni akasema, ujenzi wa SGR umefikia 80+%.
Huyu huyu Gerson msigwa juzi juzi hapa anakuja na taarifa ya ujenzi wa njia nane kimara bado unaendelea na uko 94%. Wakati sie wakazi na wapita njia wa hizo barabara tunaona ujenzi umesimama Wala hakuna magari na wafanya kazi wanao fanya kazi.
Leo hii mnakuja tena na upuuzi wa kukusanya 1.9T, alafu likitokea suala la kuhitaji pesa chief HANGAYA anasema hatuna pesa uchumi umeshuka na mapato yameshuka Kwasababu ya korona.
Msitufanye watanzania wajinga na takwimu zenu hizo za kugushi zisizo aksi uhalisia..
Mnatia hasira sana nyie watu.