Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara, Rais Samia aweka rekodi ukusanyaji mapato

Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara, Rais Samia aweka rekodi ukusanyaji mapato

We jamaa umefungua account hii kwa ajili ya kusifia tu awamu hii! Ila mwambie huyo bibi Tozo kwamba hakubaliki kabisaaaaa mitaani
Mara gani huo unaouzungumzia. Mbona Sisi tunamkubali
 
Wewe nini kinakuumiza kama jambo ni dogo,

Yaani Mapato ya mwezi kufiki 2T ni jambo dogo?


Anataka ule ujinga wa miaka 5 iliyopita uendelee, jambo dogo tu linatangazwa kama ndiyo mwisho wa dunia!! Mambo aliyoyafanya huyu mother kwa hii miezi 6 ingekuwa awamu pendwa mtaani kusingekalika kwa maandamano ya kupongeza
 
Mbona hawaweki kiasi wanachokusanya kila mwezi? Hakuna kuweka makande.
KUWA NA AMANI NCHI IKO VIZURI SANA

Screenshot_20211003-093938.png
 
We jamaa umefungua account hii kwa ajili ya kusifia tu awamu hii! Ila mwambie huyo bibi Tozo kwamba hakubaliki kabisaaaaa mitaani
Mkuu ni mtaa wa Ufipa?

Kama ni huku kwetu kila kona ni Samia| Samia|Samia

Screenshot_20211003-093938.png
 
KUWA NA AMANI NCHI IKO VIZURI SANA
Una uhakika?

 
Una uhakika?

Kesho nitawajibu hii kitu,

naamini kwa uweza wa Mungu mtaelewa vizuri kuhusu ugomvi wa kibiashara uliopo hapo


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Kama alivyokatiwa dhalimu mwendazake.

We jamaa umefungua account hii kwa ajili ya kusifia tu awamu hii! Ila mwambie huyo bibi Tozo kwamba hakubaliki kabisaaaaa mitaani
 
Huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

Nimnyenyekevu na mpole sana,

Hana majigambo kabisa,

Mungu akulinde Rais wetu

Watanzania tunakupenda sana,
Kiukweli huyu mama ni mpango wa Mungu, nchi ilitawaliwa na ibilisi, ilijaa hofu, unyang'anyi ulitawala, uuaji, mateso, vifungo udini,ukabila, manyanyaso, ubabe,udikteta, uhayawani,ushetani.
Hatimae Mungu ameondoa yote na anetupa furaha na sasa Tumshukuru Mungu kwa Kufanya maombi Juu yake ili mama adumu na azidi kutenda haki.

Kipindi cha miaka 6 ya jpm ilikua ni dhalimu kuliko enzi za musolin na Hitler,
Dunia ilishuhudia kila aina ya unyama ktk nchi ya Tanzania ambako watu wake ni Wema na wanyenyekevu.
 
Miamala na tozo za ktk umeme, hata mie ningekusanya hizo, tena zaidi maana ningeziba magepu ya ufisadi na upigaji...
Bora tozo ya umeme na miamala kuliko unyang'anyi uliolenga wivu na fitna kwa watu wachache.
Sasa kila mtu alipe kodi na kila mtu afanye kazi
 
Ni kama vile kipindi kile tulivyoanza kumtengenezea mazingira Lisu mara oh atahutubia umoja wa ulaya, mara atahutubia un mara atafungua case katika mahakama ya kimataifa dhidi ya Magufuli nk. Lkn cha kushangaza uchaguzi mkuu wa 2020 ulipofika Lisu mwenyewe aliangukia pua. Yani propaganda zetu zote na uongo tuliotengeneza havikusaidia kuwashawishi wananchi wampigie kura. Hii ndo Tanzania ndugu.
Srma haikusaidia kuwashawishi NEC kumtangaza
 
Back
Top Bottom