Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,028
Unauliza maji ziwanitozo za luku ndio zipi hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauliza maji ziwanitozo za luku ndio zipi hizo
Nampenda mama Sana Tu. Lakini wewe inaonesha upo kwenye kitengo cha propaganda kutangaza mazuri ya mama. Ujinga huo wa miluzi mingi ndio nyie machawa mnani bore. Let mama do her things wenyewe tunaompenda tutaona.Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara Rais Samia aweka rekodi mpya Ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 1.9T mwezi Sept 2021,kazi iendelee kwa kasi & weledi zaidi,
==================================
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi,Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali serikali kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma "Presumptive Tax accessment " wakati wanazo tayari "Tax Clearance " toka kwa haohao wanaowadai tena,Kitendo hiki Rais Samia alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati "
Wakati Serikali ya Rais Samia imepanga kutumia Jumla Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.9trl kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
#Kazi iendelee kwa kasi & nguvu zaidi
Be blessed & Happy Sunday
=============================
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1961007
Hasa kwenye kuteka na kudhulumu.Ya Tehama,kwani hizo Control number zimekomaliwa kipindi gani,ila Magu hashindani na Samia,maana Samia uwezo wake haufiki hata robo ya Magufuli😂😂😂
Alimdhulumu nini?Wewe kwa jinsi unavyoandika tu,hauna cha kudhulumiwaHasa kwenye kuteka na kudhulumu.
hakuna tozo ya lukuUnauliza maji ziwani
Hapo Mkuu Chama kitakuwaje bila makatibu kutembelea mashina?Hizo posho zinaongeza mzunguko wa pesa mifukoni mwa watu, na uchumi unakua kuliko kununua pikipiki - ambayo unaendeleza zaidi uchumi wa Uchina au India ambako pikipiki imetoka. Huyo jamaa aliyepata posho - atanunua nyanya, vitunguu, unga na mchele wa hapa hapa Tanzania.
We Màtaga toa ufafanuzi kuhusu :-Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara Rais Samia aweka rekodi mpya Ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 1.9T mwezi Sept 2021,kazi iendelee kwa kasi & weledi zaidi,
==================================
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi,Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali serikali kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma "Presumptive Tax accessment " wakati wanazo tayari "Tax Clearance " toka kwa haohao wanaowadai tena,Kitendo hiki Rais Samia alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati "
Wakati Serikali ya Rais Samia imepanga kutumia Jumla Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.9trl kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
#Kazi iendelee kwa kasi & nguvu zaidi
Be blessed & Happy Sunday
=============================
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1961007
Upendo wetu kwake umeshuka kwa kukubali waliomzunguka kumfunga waziri mkuu wetu MboweHuyu Mama ni Mpango wa Mungu,
Nimnyenyekevu na mpole sana,
Hana majigambo kabisa,
Mungu akulinde Rais wetu
Watanzania tunakupenda sana,
bado sana hiyo pesa bajeti 36 t makusanyo kwa mwezi 1.9 t maana yake kama kila mwezi tutakusanya kiwango hicho ambacho ni impossible pia tutakuwa na gap la 11 t hizi pesa zote tutazitoa wapi ili tukamilishe kile tulichoiandaa kwa 2021-2022 possible tutakopa so tutegemee mikopo kutamalaki...![]()
Serikali yakusanya kodi Sh1.9 trilioni Septemba
Serikali imesema imekusanya kodi ya Sh1.9 trilioni kwa kipindi cha Septemba mwaka huu ikiwa ni sawa na asilimia 93.www.mwananchi.co.tz

SATURDAY OCTOBER 02 2021
Summary
Serikali imesema imekusanya kodi ya Sh1.9 trilioni kwa kipindi cha Septemba mwaka huu ikiwa ni sawa na asilimia 93.
Morogoro. Serikali imesema imekusanya kodi ya Sh1.9 trilioni kwa kipindi cha Septemba mwaka huu ikiwa ni sawa na asilimia 93.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumamosi, Oktoba 2, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema makusanyo hayo ni makubwa kulinganisha na kipindi kama hicho mwaka 2020.
“Tuliweka malengo ya kukusanya Sh2.1trilioni, ukusanyaji huu ni mkubwa ukilinganisha na mwaka jana kipindi kama hiki tulikusanya Sh1.7 trilioni ambazo ni sawa na asilimia 80 ya malengo tuliyojiwekea ya kukusanya Sh2.2 trilioni” amesema Msigwa.
Huyu msigwa ni Humphrey pole pole wa awamu ya
Ni sadaka au🚮🚮🚮 Zote ulizotaja sio kodi kichaa mwenzangu
Ni habari njema sana, imebaki kidogo sana kukamilisha lengo la 2.1 trl kwa mwezi alilopewa Waziri Mwigulu.![]()
Serikali yakusanya kodi Sh1.9 trilioni Septemba
Serikali imesema imekusanya kodi ya Sh1.9 trilioni kwa kipindi cha Septemba mwaka huu ikiwa ni sawa na asilimia 93.www.mwananchi.co.tz
Serikali yakusanya kodi Sh1.9 trilioni Septemba
SATURDAY OCTOBER 02 2021
Summary
Serikali imesema imekusanya kodi ya Sh1.9 trilioni kwa kipindi cha Septemba mwaka huu ikiwa ni sawa na asilimia 93.
Morogoro. Serikali imesema imekusanya kodi ya Sh1.9 trilioni kwa kipindi cha Septemba mwaka huu ikiwa ni sawa na asilimia 93.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumamosi, Oktoba 2, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema makusanyo hayo ni makubwa kulinganisha na kipindi kama hicho mwaka 2020.
“Tuliweka malengo ya kukusanya Sh2.1trilioni, ukusanyaji huu ni mkubwa ukilinganisha na mwaka jana kipindi kama hiki tulikusanya Sh1.7 trilioni ambazo ni sawa na asilimia 80 ya malengo tuliyojiwekea ya kukusanya Sh2.2 trilioni” amesema Msigwa.
We mama acha kujisifia mitandaoni, unatuchoshaBila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara Rais Samia aweka rekodi mpya Ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 1.9T mwezi Sept 2021,kazi iendelee kwa kasi & weledi zaidi,
==================================
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi,Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali serikali kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma "Presumptive Tax accessment " wakati wanazo tayari "Tax Clearance " toka kwa haohao wanaowadai tena,Kitendo hiki Rais Samia alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati "
Wakati Serikali ya Rais Samia imepanga kutumia Jumla Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.9trl kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
#Kazi iendelee kwa kasi & nguvu zaidi
Be blessed & Happy Sunday
=============================
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1961007
Hizo 1.9T kakusanya kutoka wapi, au ni zile misaada alopewa na beberu baada ya kukubali chanjo?. Muda ni hakimu mwema, let's watch and see.Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara Rais Samia aweka rekodi mpya Ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 1.9T mwezi Sept 2021,kazi iendelee kwa kasi & weledi zaidi,
==================================
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi,Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali serikali kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma "Presumptive Tax accessment " wakati wanazo tayari "Tax Clearance " toka kwa haohao wanaowadai tena,Kitendo hiki Rais Samia alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati "
Wakati Serikali ya Rais Samia imepanga kutumia Jumla Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.9trl kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
#Kazi iendelee kwa kasi & nguvu zaidi
Be blessed & Happy Sunday
=============================
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1961007
Hata kama sijadhulumiwa mimi binafsi lakini haiondoi kwamba alikuwa dhulma,moto wa jehanamu umshughulikie kisawasawa huko alipo.Alimdhulumu nini?Wewe kwa jinsi unavyoandika tu,hauna cha kudhulumiwa