Nyamatare1987
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 416
- 493
Ya Tehama,kwani hizo Control number zimekomaliwa kipindi gani,ila Magu hashindani na Samia,maana Samia uwezo wake haufiki hata robo ya Magufuli😂😂😂Magu aliweka mifumo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya Tehama,kwani hizo Control number zimekomaliwa kipindi gani,ila Magu hashindani na Samia,maana Samia uwezo wake haufiki hata robo ya Magufuli😂😂😂Magu aliweka mifumo gani?
Sisi tunaunga mkono huo ubunifu wake wa tozo, sukuma gang mkafie mbele na vitambulisho vya machinga.Miamala na tozo za ktk umeme, hata mie ningekusanya hizo, tena zaidi maana ningeziba magepu ya ufisadi na upigaji...
Makampuni ya simu yanalia mapato yameshuka kwa kiwango cha kutisha,mawakala wanalia biashara yao imeshuka,watanzania ni watu wakimya sina,ila wanaugulia moyoni maumivu hayaNani analia na analia kwa lipi Mkuu,
Acheni kujipa mamlaka fake ya kuwasemea wananchi,
Nitajie kundi lolote linalo lia nani ntakambia kitu,
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Hawa timu Msoga unafikiri wanaakili basiUnataka kusema ndani ya miezi hii michache wafanya biashara waliokimbia wameweza kurudi na kufanya biashara na kusimama imara hadi kufikia kiwango cha kulipa kodi kikamilifu!? Kuwa na akili basi ata kidogo.
Hujasikia Rais Samia alisajiri miradi mipya 93 yenye thamani ya $1.6bl kwenye Siku zake 100 zilizotoa ajira 26,000?Kama haya ndo.mapato kwanini vijana hawajiliwi?
😍😍😍Mwanamke wa shoka.
#Mama 2025.
Hiyo mifumo ya kielekteonic mbona ipo kila nchi mkuu. Kenya,Uganda,Rwanda,nk. Ni mipango ya serikali iliyokuwa inatekelezwa.wamesahau Tozo ,,wamesahau kwamba kunatozo ya sh 100 kwa kila litre ya mafuta iliyoongezwa..Lakini wanasahau magufuri aliweka mfumo wa kulipia electronically ambapo sasa wanaimarisha kidogo na hera yote unaiona
Mkuu CCM haitegemei pesa ya Serikali,Hongera kwa Serikali kufikia malengo ya Kodi kufikia 93%.
Ila utofauti upo kwenye Kodi Mpya ambazo zimeanza kutozwa awamu hii ya 6 ambazo awamu ya 5 hazikwepo;
....Tozo za miamala ya Simu
....Kodi ya Majengo kupitia LUKU
Sisi Wananchi tunahitaji Kodi zetu tuzione kwenye uboreshaji wa huduma za afya angalau vifaa tiba na Wataalamu waongezwe kwenye vituo vya afya ambavyo sasa vinafika almost 450 Nchi Nzima, uboreshaji wa huduma za Elimu, Maji, Barabara, Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano n.k
Mambo ya kutumia kodi zetu hovyo kwa kuwa na Vikao vya Chama na Serikali mara Dodoma na Dar es Salaam hatutaki. Mchague Mkoa Mmoja kufanya Shughuli za Serikali sio kila siku kulipana maPerdiems na kutumbua kodi zetu
Naugana na wewe 100%Hiyo mifumo ya kielekteonic mbona ipo kila nchi mkuu. Kenya,Uganda,Rwanda,nk. Ni mipango ya serikali iliyokuwa inatekelezwa.
Ni jambo zuri kutambua mafanikio ya kiongozi. Kwenye kodi,wapinga ramri na wanga walikuwa wanasema serikali ya Samia haitaweza kukusanya kodi kwa kubembeleza walipa kodi. Sasa,kwa mafanikio haya,inaonekana dhahiri kwamba utaratibu wa raisi samia wa ukusanyaji kodi una tija. Tumpongeze kwa mafanikio haya.
Wasalaam mkuu,Unataka kusema ndani ya miezi hii michache wafanya biashara waliokimbia wameweza kurudi na kufanya biashara na kusimama imara hadi kufikia kiwango cha kulipa kodi kikamilifu!? Kuwa na akili basi ata kidogo.
Mkuu mkiona inafaa unaweza kushauri Chama pia, kwakuwa hizo Bilioni unazosema wanapata kutoka Serikalini ni matokeo ya Kodi zetu.Mkuu CCM haitegemei pesa ya Serikali,
CCM inapata ruzuku zaidi 1bl kwa mwezi toka serikalini,
Ukiona tunafanya vikao ni kwa pesa yetu kama CCM sio kama serikali,
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
tozo za luku ndio zipi hizoHumo humo kuna tozo za simu humo humo kuna tozo za Luku
Harafu unaleta unafiki
magufuli hakutoza hizo
Kikwete hakutoza hizo
Mkapa hakutoza hizo
Kimberembere kibaya Sana
Chawa kama chawa
Huo ni mtazamo mpya wa ukusanyanji wa kodi, kila mwananchi sasa anachangia pato la taifa maskini kwa tajiri, maskini sasa anaweza kusimama kifua mbele kwamba na yeye ni muhimu katika Taifa - anachangia ujenzi wa kituo cha afya, madarasa na barabara. Kodi za majengo zimekuwapo zaidi ya miaka 10, kama kuna watu wanashangaa mwaka huu- hii ni dhahiri kuwa watu wengi walikuwa wanakwepa kulipa. Hongera kwa awamu ya Sita kwa kungamua hayo.Mnatukamua tozo za miamala na kodi ya majengo alafu mnajisifu.
Hizo posho zinaongeza mzunguko wa pesa mifukoni mwa watu, na uchumi unakua kuliko kununua pikipiki - ambayo unaendeleza zaidi uchumi wa Uchina au India ambako pikipiki imetoka. Huyo jamaa aliyepata posho - atanunua nyanya, vitunguu, unga na mchele wa hapa hapa Tanzania.Mkuu mkiona inafaa unaweza kushauri Chama pia, kwakuwa hizo Bilioni unazosema wanapata kutoka Serikalini ni matokeo ya Kodi zetu.
Hata kama wanapokea kama sadaka ndiyo zitumike hovyo? Hivi unajua Makatibu Kata wa CCM hawana Usafiri kuwawezesha kwenda Wilayani pamoja na kufanya ufuatiliaji kwenye Mashina?
Hizo Ruzuku zinazotumika kulipana maposho ya Dodoma - DSM huoni walikuwa wanaweza kununua walau pikipiki za 2 milioni kwa kila Katibu Kata wao??
Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara Rais Samia aweka rekodi mpya Ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 1.9T mwezi Sept 2021,kazi iendelee kwa kasi & weledi zaidi,
==================================
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi,Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali serikali kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma "Presumptive Tax accessment " wakati wanazo tayari "Tax Clearance " toka kwa haohao wanaowadai tena,Kitendo hiki Rais Samia alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati "
Wakati Serikali ya Rais Samia imepanga kutumia Jumla Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.9trl kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
#Kazi iendelee kwa kasi & nguvu zaidi
Be blessed & Happy Sunday
=============================
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1961007
Anataka ule ujinga wa miaka 5 iliyopita uendelee, jambo dogo tu linatangazwa kama ndiyo mwisho wa dunia!! Mambo aliyoyafanya huyu mother kwa hii miezi 6 ingekuwa awamu pendwa mtaani kusingekalika kwa maandamano ya kupongezaAjira zinatangazwa , nadhani unasikia.
Sema utamaduni wa pambio siuungi mkono kwani unaweza mharibu kiongozi mzuri.
Hamna anayelia, ni ujinga na wivu tu wa hawa jamaa!! Kufail kwa serikali na Tz kwa ujumla ndiyo furaha yao!! Chuki ya ajabu kabisa hiiNani analia na analia kwa lipi Mkuu,
Acheni kujipa mamlaka fake ya kuwasemea wananchi,
Nitajie kundi lolote linalo lia nani ntakambia kitu,
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
We jamaa umefungua account hii kwa ajili ya kusifia tu awamu hii! Ila mwambie huyo bibi Tozo kwamba hakubaliki kabisaaaaa mitaaniBila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara Rais Samia aweka rekodi mpya Ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 1.9T mwezi Sept 2021,kazi iendelee kwa kasi & weledi zaidi,