Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara, Rais Samia aweka rekodi ukusanyaji mapato

Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara, Rais Samia aweka rekodi ukusanyaji mapato

umekaa na familia yako wewe kama baba unaingiza laki kwa mwezi

ukawaambia wwna familia wako 5 kuanzia leo kila mmoja alete elfu ishirini

wanafamilia wakakubali

kwa mwezi sasa mnaingiza Tsh laki mbili


halafu jirani anamsifia baba yako kuleta kipato cha laki 2 kwa mwezi!!

unajua katoka magoli mengi ya baba yako yaliyoenda chooni, na mimba nyingi ambazo mama yako alizitoa..ikawaje ukazaliwa wewe? ni laana ya matendo ya wazazi au? si kwa akili hizi
Unalaana wewe sio bure,
Alaaniwe amtegemeaye mwanadamu,
Mama atawaua kwa presha msipokuwa makini,🚮🚮🚮
 
20211003_091323.jpg

Hua sioni hoja ya kulinganisha vipindi kwa sababu ina ignore Factor moja kubwa, population. Ingekua idadi ya watu ni ile ile ni sawa na kufanya hiyo analysis, sasa watu wameongezeka ni obvious mahitaji yataongezeka na kodi kuongezeka.

Huu ulinganishi ni utaahira tu.
 
kazi indeleee.hobgera amir l jaysh doctor samia suluh
 
Unapenda sana kubishana Mkuu,

Mifumo gani inayombeba Rais Samia leo?

Rekodi zinaonesha wafanyabiashara walikimbia sasa kukimbia ndio mfumo wa kumfanya Rais Samia avunje rekodi hizi?

Jifunze jufikiri Kizalendo mkuu wangu,



#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Unataka kusema ndani ya miezi hii michache wafanya biashara waliokimbia wameweza kurudi na kufanya biashara na kusimama imara hadi kufikia kiwango cha kulipa kodi kikamilifu!? Kuwa na akili basi ata kidogo.
 
AWAMU YA TANO MOTO MKALI,
UKIKIMBIA NCHALE,UKISIMAMA NCHALE, UKIKAA NCHALE

KWELI SAMIA NI LEVEL ZINGINE,
SAMIA KURA YANGU CHUKUA 2025
uchichimame wala uchikae,uchimun'gunye wala uchiteme
 
Miamala na tozo za ktk umeme, hata mie ningekusanya hizo, tena zaidi maana ningeziba magepu ya ufisadi na upigaji...
wamesahau Tozo ,,wamesahau kwamba kunatozo ya sh 100 kwa kila litre ya mafuta iliyoongezwa..Lakini wanasahau magufuri aliweka mfumo wa kulipia electronically ambapo sasa wanaimarisha kidogo na hera yote unaiona
 
Kwa spidi hii muda si mrefu tutafikia kukusanya trilion 2.5 kwa mwezi. Mipango ya kiuchumi ya serikali ya awamu ya sita chini ya Mama Samia inatoa fursa mzuri kwa wajasiria Mali wakubwa kwa wadogo,wakulima n.k
Hakika tutafika huko,

Mungu akiwa upande wetu kila kitu kitakwenda sawasawa,

This is a blessed gvnment

Mkuu nakusalimia kwa jina la JMT
 
Kama haya ndo.mapato kwanini vijana hawajiliwi?
 
Tozo za mafuta,,nahizi zote zimo angalia report ya benki kuu

Hiyo afadhali umeipimaje?wananchi wanalia wewe unaleta upumbavu wako hapa,wewe jitu jinga sana
Nani analia na analia kwa lipi Mkuu,

Acheni kujipa mamlaka fake ya kuwasemea wananchi,

Nitajie kundi lolote linalo lia nani ntakambia kitu,


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Back
Top Bottom