Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikukumbushe tu hata Mwendazake takwimu za mapato zilijumuisha na vyanzo vya local Government ambavyo enzi za JK ziliachiwa Halmashauri.Jibu hoja wewe mkwepa Kodi...katika mapato yaliyokusanywa mapato ya tozo za miamala na Kodi za nyumba kupitia luku ni sh. Ngapi na mapato mengine sh. Ngapi? Hapana shaka figures za mapato mengine zitakuwa ni aibu kubwa....wakwepaji Kodi wanaongezeka sasa..
Ninavyoandika message nipo gizani...umeme umekatika for three hours..enzi za unayemwita mwendazake ilikuwa ni nadra umeme kukatika....nadhani nyie wakwepa mnajiandaa kuleta majenereta...bidhaa zinapanda inflation ni juu...
Unabisha??
😍😍😍Wewe ni mpumbavu,concepts gani? Hakuna tozo zinaenda TRA..
Fafanua basi hizo concepts tukuone ukianza na mchanganuo huu hapa chini 👇
View attachment 1962880
😍😍😍Nikukumbushe tu hata Mwendazake takwimu za mapato zilijumuisha na vyanzo vya local Government ambavyo enzi za JK ziliachiwa Halmashauri.
So ukisema tuweke pembeni makusanyo ya tozo basi pia na ww toa mapato ambayo Mwendazake alizinyang'anya Halmashauri.
After all tozo kwa mwezi haifiki 100b
Zaidi ya nusu katika hiyo Kodi imetokana na manunuzi ya vifaa katika ujenzi wa SGR na bwawa la Nyerere pamoja na malipo kwa makandrasi.
Upi?Upuuzi
Serikali yakusanya kodi Sh1.9 trilioni Septemba
SATURDAY OCTOBER 02 2021
Summary
Serikali imesema imekusanya kodi ya Sh1.9 trilioni kwa kipindi cha Septemba mwaka huu ikiwa ni sawa na asilimia 93.
Morogoro. Serikali imesema imekusanya kodi ya Sh1.9 trilioni kwa kipindi cha Septemba mwaka huu ikiwa ni sawa na asilimia 93.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumamosi, Oktoba 2, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema makusanyo hayo ni makubwa kulinganisha na kipindi kama hicho mwaka 2020.
“Tuliweka malengo ya kukusanya Sh2.1trilioni, ukusanyaji huu ni mkubwa ukilinganisha na mwaka jana kipindi kama hiki tulikusanya Sh1.7 trilioni ambazo ni sawa na asilimia 80 ya malengo tuliyojiwekea ya kukusanya Sh2.2 trilioni” amesema Msigwa.
Kama Mimi ni kenge wewe ni pig..you are a hog..ni nguruwe...mnyama mlafi..Kenge wewe hujui kitu unatapa tapa tuu,weka hicho ulichoita concepts
Ni Nani amesema mapato hayo yawekwe pembeni ...nasema fafanua mapato hayo yanahusisha Mambo gani..umeelewa dogo?Nikukumbushe tu hata Mwendazake takwimu za mapato zilijumuisha na vyanzo vya local Government ambavyo enzi za JK ziliachiwa Halmashauri.
So ukisema tuweke pembeni makusanyo ya tozo basi pia na ww toa mapato ambayo Mwendazake alizinyang'anya Halmashauri.
After all tozo kwa mwezi haifiki 100b
Samia anaupiga mwingi hadi jamaa wamekosa cha kuongea now, wanatunga uongo tu! Mama siyo fisadi, mwizi! Hapendi machawa, kawaachia wasaidizi wake waoneshe vipaji vyao, anayezingua anamtoa! Siyo yule ambaye aliacha wasaidizi wake wawe majambazi na hakuwawajibisha kisa kabila/kandaHueleweki kitu we mburula tozo hazihusiki hapa..
Ukute hujawahi fanya hata muamala ukaangalia mchanganuo wake ndio maana unaongea pumba.Tozo haziendi TRA.
Hongera mama Samua.Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara Rais Samia aweka rekodi mpya Ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 1.9T mwezi Sept 2021,kazi iendelee kwa kasi & weledi zaidi,
==================================
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi,Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali serikali kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma "Presumptive Tax accessment " wakati wanazo tayari "Tax Clearance " toka kwa haohao wanaowadai tena,Kitendo hiki Rais Samia alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati "
Wakati Serikali ya Rais Samia imepanga kutumia Jumla Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.9trl kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
#Kazi iendelee kwa kasi & Weledi zaidi
Be blessed & Happy Sunday
=============================
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1961007
HAKUNA MPAKA SASA ALIYEVUNJA REKODI HII YA JPMBila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara Rais Samia aweka rekodi mpya Ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 1.9T mwezi Sept 2021,kazi iendelee kwa kasi & weledi zaidi,
==================================
Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa mwezi,Wakati Mzee Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 850BL kwa mwezi na Wakati Hayati Rais Magufuli anaaga dunia Serikali yake ilikusanya wastani wa Tshs 1.4trl kwa Mwezi,
Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa kuiongoza Serikali kwa awamu ya Sita aliapa kamwe hatokubali serikali kukusanya Kodi ya dhuluma namnukuu "Niheri tukusanye kidogo lakini kiwe cha halali kitatufaa " alisikika kwa Upole na unyenyekevu akiwaasa wateule wake,Rais Samia alishangaa watu kudaiwa kodi za nyuma "Presumptive Tax accessment " wakati wanazo tayari "Tax Clearance " toka kwa haohao wanaowadai tena,Kitendo hiki Rais Samia alikiita kuwa kwa Mujibu wa Mungu na dini huo ni "udhulumati "
Wakati Serikali ya Rais Samia imepanga kutumia Jumla Tshs 36.33trl kwa Mwaka wa fedha 2021|2022 mwaka ulioanza tarehe 01|07|2021 ambapo mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa
Tshs 26.03trl, sawa na 71.7% ya bajeti yote. Kati ya mapato hayo, mapato ya kodi ni Tshs 22.18trl, sawa na 13.5% ya Pato la Taifa. Aidha, Serikali inalenga kukusanya
mapato yasiyo ya kodi ya Tshs 2.99trl na mapato kutoka
vyanzo vya Halmashauri ni Tshs 863.9BL,
Mungu ni mwema,kama kasi yetu ni Tshs 1.9trl kwa mwezi,Chukuaa 1.9trl zidisha kwa miezi 12 utapata jumla ya Tshs 22.8 tutavuka lengo kwa 3% naomba mfahamu tangu uhuru hakuna Rais aliwahi kutenga Tshs 36.33trilioni kwa aajili ya bajeti ni Samia and only Samia,
Tuendelee kulipa kodi kwa hiari kwaajili ya maendeleo yetu na ya watoto wetu na yawatoto wao,Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa pengine tangu uhuru japo ni niukweli mchungu kwa wengine.
#Kazi iendelee kwa kasi & Weledi zaidi
Be blessed & Happy Sunday
=============================
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1961007
1 month,HAKUNA MPAKA SASA ALIYEVUNJA REKODI HII YA JPMView attachment 1963132View attachment 1963133