Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Unachanganya mambo mkuu. By the way miaka yote takwimu zimekuwa zikilinganishwa na kipindi sawia hivyo sio kumlinganisha na magu.Mbona mnadanganya sana watu.?Yaan mapato ya TRA yamepanda katika ukusanyaji ,baada tu ya serikali kupokea mkopo wa Covid?Huyu mama hana huo ubavu ,kama wafanyabiashara hawatoi EFD.Halafu ,kwann kujilinganisha na Magufuli?Mbona Magu alimpenda huyu mama.Na hakumyima furusa za umakamu,safari.Leo mama anataka aonekane ni said ya geneous JPM?Sisi sio wajinga.