Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara, Rais Samia aweka rekodi ukusanyaji mapato

Zaidi ya nusu katika hiyo Kodi imetokana na manunuzi ya vifaa katika ujenzi wa SGR na bwawa la Nyerere pamoja na malipo kwa makandrasi.
 
Nikukumbushe tu hata Mwendazake takwimu za mapato zilijumuisha na vyanzo vya local Government ambavyo enzi za JK ziliachiwa Halmashauri.
So ukisema tuweke pembeni makusanyo ya tozo basi pia na ww toa mapato ambayo Mwendazake alizinyang'anya Halmashauri.

After all tozo kwa mwezi haifiki 100b
 
😍😍😍
 
Mmm hizo Tozo Mbona tumekamuliwa sana.sema awamu hii inakusanya kodi kwa walala hoi,ambao hawana pa kusemea.
 
Niko nje ya mada wakuuu. Mbona vitu, bidhaa na huduma zimepanda bei au pesa (noti) zimechapishwa kimya kimya
 
Bila hizo namba za mkusanyiko wa kodi CCM itakuwa katika hali ngumu mbleleni. Zimetoka wapi? ndio ningeuliza, ni asilimia ngapi za waliowekeza? kwani tatizo sio mwananchi anayelipa kodi kuchwa bali ni matumizi ya hiyo pesa na serikali ya CCM inapoenda.Je hayo matumizi yanatajwa?

Hongera kwa watumishi wote waliofanikisha hili na wananchi wote kwa ujumla.
 
Pikeni data muwezavyo sisi tunaangalia miradi tu,ikikwama ndo uongo wenu utakuwa wazi.
Maana tunatarajia afanye miradi mikubwa zaidi mipya kwa makusanyo ya tozo kila Kona.
 
Kenge wewe hujui kitu unatapa tapa tuu,weka hicho ulichoita concepts
Kama Mimi ni kenge wewe ni pig..you are a hog..ni nguruwe...mnyama mlafi..
Kwa kuleta Mambo hayo ya mafuta bill Shaka una business ya mafuta...na mwizi, mkwepa Kodi ..stupid guy...huna utu kabisa...kufurahia kifo Cha binadamu mwenzio Tena basi kiongozi wa nchi ncio ushenzi wenyewe tunaouzungumzia. Kama hujui maana ya concept ya ushenzi, upumbavu na ujinga ndiyo hivyo Tena...nazungumzia maneno hayo Kama concepts wewe Mambo ya mafuta..stupid guy...
 
Ni Nani amesema mapato hayo yawekwe pembeni ...nasema fafanua mapato hayo yanahusisha Mambo gani..umeelewa dogo?
 
Hueleweki kitu we mburula tozo hazihusiki hapa..

Ukute hujawahi fanya hata muamala ukaangalia mchanganuo wake ndio maana unaongea pumba.Tozo haziendi TRA.
Samia anaupiga mwingi hadi jamaa wamekosa cha kuongea now, wanatunga uongo tu! Mama siyo fisadi, mwizi! Hapendi machawa, kawaachia wasaidizi wake waoneshe vipaji vyao, anayezingua anamtoa! Siyo yule ambaye aliacha wasaidizi wake wawe majambazi na hakuwawajibisha kisa kabila/kanda
 
Mbona mnadanganya sana watu.?Yaan mapato ya TRA yamepanda katika ukusanyaji ,baada tu ya serikali kupokea mkopo wa Covid?Huyu mama hana huo ubavu ,kama wafanyabiashara hawatoi EFD.Halafu ,kwann kujilinganisha na Magufuli?Mbona Magu alimpenda huyu mama.Na hakumyima furusa za umakamu,safari.Leo mama anataka aonekane ni said ya geneous JPM?Sisi sio wajinga.
 
Hongera mama Samua.
Kumbe kuongoza nchi bila dhuluma inawezekana.
 
HAKUNA MPAKA SASA ALIYEVUNJA REKODI HII YA JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…