Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Unachanganya mambo mkuu. By the way miaka yote takwimu zimekuwa zikilinganishwa na kipindi sawia hivyo sio kumlinganisha na magu.Mbona mnadanganya sana watu.?Yaan mapato ya TRA yamepanda katika ukusanyaji ,baada tu ya serikali kupokea mkopo wa Covid?Huyu mama hana huo ubavu ,kama wafanyabiashara hawatoi EFD.Halafu ,kwann kujilinganisha na Magufuli?Mbona Magu alimpenda huyu mama.Na hakumyima furusa za umakamu,safari.Leo mama anataka aonekane ni said ya geneous JPM?Sisi sio wajinga.
Hii hesabu ilijumuisha na uporaji wa fedha wa miaka kadhaa huko nyuma kwa madai kwamba hazikulipwa vizuri.HAKUNA MPAKA SASA ALIYEVUNJA REKODI HII YA JPMView attachment 1963132View attachment 1963133
Saizi wanahangaika kutafutiza makosa na mapungufu madogo madogo Ili waanzishe tu thread uchwara πππ.Samia anaupiga mwingi hadi jamaa wamekosa cha kuongea now, wanatunga uongo tu! Mama siyo fisadi, mwizi! Hapendi machawa, kawaachia wasaidizi wake waoneshe vipaji vyao, anayezingua anamtoa! Siyo yule ambaye aliacha wasaidizi wake wawe majambazi na hakuwawajibisha kisa kabila/kanda
umenenaAWAMU YA TANO MOTO MKALI,
UKIKIMBIA NCHALE,UKISIMAMA NCHALE, UKIKAA NCHALE
KWELI SAMIA NI LEVEL ZINGINE,
SAMIA KURA YANGU CHUKUA 2025
Wewe ni wa jinsia ya kike!Kwa hiyo mama akisifiwa kwa mazuri unateseka Sana jamaa yaani unatamani ashindwe? ππ
Utakufa kwa pressure wewe ,tafuta hela.
Mbona wewe una wowowo kubwa,ni WA jinsia gani?Wewe ni wa jinsia ya kike!
Tozonia zimetufikisha hapo hakuna lolote zaidi ya wabunge kushiriki dhuruma wakakomba mihamala na fedha za nyumba wapangaji wasiohusika wanaliwa kama kawaMbona mapema sana kuanza kampeni za urais, vipi hamna uhakika na mama enu kwamba atatoboa?
Tozo haziendi TRA zinaenda wapi mbuzi weweHueleweki kitu we mburula tozo hazihusiki hapa..
Ukute hujawahi fanya hata muamala ukaangalia mchanganuo wake ndio maana unaongea pumba.Tozo haziendi TRA.
HAKUNA MPAKA SASA ALIYEVUNJA REKODI HII YA JPMView attachment 1963132View attachment 1963133
Mbuzi baba yako..we kwa akili zako fupi makusanyo ya taasisi mbalimbali huwa yanaenda TRA? Inawezekana huelewi maana ya hazina na TRA..Tozo haziendi TRA zinaenda wapi mbuzi wewe
Saizi wanahangaika kutafutiza makosa na mapungufu madogo madogo Ili waanzishe tu thread uchwara πππ.
Walitamani Sana alivyosema wafanyabiashara wasibughudhiwe serikali ikose pesa ila imekuwa kinyume chake,wanaaibika kila kukicha..
Kwa taarifa yao mwaka ujao Hali ya Uchumi itakuwa tamu zaidi .
Mbuzi baba yako..we kwa akili zako fupi makusanyo ya taasisi mbalimbali huwa yanaenda TRA? Inawezekana huelewi maana ya hazina na TRA..
Kila taasisi unayoijua wewe inakusanya mapato yake kwa shughuli yake..
Tozo za simu ziko ninaingia kwenye Mfuko unaitwa consolidated funds au Mfuko mkuu wa Serikali..
Tozo za mafuta zinaenda kwenye account ya Tarura ya BoT,nk
Wewe ni mjinga hakuna unachoelewa tulia ueleweshwe.
Wewe buzi kama busi wengine Tu wala huna maanaMbuzi baba yako..we kwa akili zako fupi makusanyo ya taasisi mbalimbali huwa yanaenda TRA? Inawezekana huelewi maana ya hazina na TRA..
Kila taasisi unayoijua wewe inakusanya mapato yake kwa shughuli yake..
Tozo za simu ziko ninaingia kwenye Mfuko unaitwa consolidated funds au Mfuko mkuu wa Serikali..
Tozo za mafuta zinaenda kwenye account ya Tarura ya BoT,nk
Wewe ni mjinga hakuna unachoelewa tulia ueleweshwe.
ππ Kawaida tu mkuu tunawaelimisha na kuwaelewesha wengine.Unafanya kazi kubwa sana opportunity cost
Unajichekesha kama unahisi utamu wa dushe..Wewe buzi kama busi wengine Tu wala huna maana
Lofa mkubwa were
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Una hoja gani, hoja zako nyepesi kama mabua ya mahindi kwenye MotoUnajichekesha kama unahisi utamu wa dushe..
Huna hoja umeaibika baada kutoa Boko na kuelimishwa
We nadhani umejaa kamasi kichwani eti..Una hoja gani, hoja zako nyepesi kama mabua ya mahindi kwenye Moto
Kalagabaho
We ni mjinga mpangaji hahusiki na nini? Technically ukipanga chumba hapo ni kwako kile unachotumia lazima ulipie sasa shuluma iko wapi? Mbona unalazimisha mambo?Tozonia zimetufikisha hapo hakuna lolote zaidi ya wabunge kushiriki dhuruma wakakomba mihamala na fedha za nyumba wapangaji wasiohusika wanaliwa kama kawa
We nadhani umejaa kamasi kichwani eti..
Angalia huu mchanganuo hapo chini uone mchanganuo wa bei ya mafuta na uone tozo na Kodi zinavyoenda kwenye taasisi mbalimbali labda utaelewa π
View attachment 1963887
We nadhani umejaa kamasi kichwani eti..
Angalia huu mchanganuo hapo chini uone mchanganuo wa bei ya mafuta na uone tozo na Kodi zinavyoenda kwenye taasisi mbalimbali labda utaelewa π
View attachment 1963887
Wewe ni mmoja WA wapiga chapuo Tu nadhani ni wale machawa wanaoshadadia tozo nyingi na Kodi ili muweze kuiba na kujishibisha matumbo yenuWe nadhani umejaa kamasi kichwani eti..
Angalia huu mchanganuo hapo chini uone mchanganuo wa bei ya mafuta na uone tozo na Kodi zinavyoenda kwenye taasisi mbalimbali labda utaelewa [emoji116]
View attachment 1963887