Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara, Rais Samia aweka rekodi ukusanyaji mapato

Wewe ni mmoja WA wapiga chapuo Tu nadhani ni wale machawa wanaoshadadia tozo nyingi na Kodi ili muweze kuiba na kujishibisha matumbo yenu

Ole wenu
Pole Sana ,mama tayari katoa Maelekezo ya kufuta tozo za kijinga lakini sio tozo za umuhimu zilizowekwa.

Nani kama mama

Pole Sana ,mama tayari katoa Maelekezo ya kufuta tozo za kijinga lakini sio tozo za umuhimu zilizowekwa.

Nani kama mama
Hizo hizo mliziweka ninyi hao hao ili mkandamize maskini

Harafu Leo eti mnafuta

Hata hizi zingine zikifutwa utashadadia Tu wakati mwanzo ulisifu

Wewe ni chawa mbaya Sana

Zaidi ya kunguni
 
Hizo hizo mliziweka ninyi hao hao ili mkandamize maskini

Harafu Leo eti mnafuta

Hata hizi zingine zikifutwa utashadadia Tu wakati mwanzo ulisifu

Wewe ni chawa mbaya Sana

Zaidi ya kunguni
Wakati zinawekwa bei ya soko ilikuwa chini,saizi mafuta yamepanda.kwenye soko la Dunia kwa hiyo mama amechukua hatua kufuta baadhi ya tozo Ili angalau kupunguza ukali wa maisha ..

Mpe heko Chief Hangaya kwa kuwa msikivu
 
Najua wewe mlamba fiatu lamba Tu tena Sana ili ulambe teuzi

Mwisho wa yote ni ubatili
 
Najua wewe mlamba fiatu lamba Tu tena Sana ili ulambe teuzi

Mwisho wa yote ni ubatili
Sihitaji teuzi ,kwanza sina sifa ya kuteuliwa ,mimi ni junior staff kwenye taasisi ndio watekelezaji wa mipango ya serikali kwa hiyo tunaona tofauti ya Sasa na awali.

Kama kuna asali kwa nini usilambe? Unataka tulambe sumu? Pole Sana kwa maumivu.
 
Hao tembo wanaotoka
Popote Ulipo sema "Mungu mlinde Rais Samia "

Matatizo yetu yatapungua sana
 
Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_________________
 
Hongera sana Rais Samia
 
👇🏿👇🏿👇🏿

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…