Bila Diamond, Rayvanny hana ubunifu

Hiki ndio nilichokisema

 
Hao waimba Hip Hop Za bongo hawana tofauti na wapiga taarebu tu muda wote kujisifia na kuponda wenzao
Alichoandika van na Hao hip-hop wako Umefatilia hawana tofauti
Ujue chochote sipotezi muda kukuelimisha kama kusoma unajua unashindwaje kutofautisha baki na mahaba yako kama sio mapenzi.
 
Kama anabana pua na mshiko unaingia acha abane tu boy
 
Uko sahihi kwa asilimia [emoji817].
Wale wengine hawajui utunzi yaani bila kutukana hawapati Cha kuimba.
 
Ujue chochote sipotezi muda kukuelimisha kama kusoma unajua unashindwaje kutofautisha baki na mahaba yako kama sio mapenzi.
Ungemtaja hata msanii mmoja wa hip-hop ambaye haimbi mipasho Nikuone wewe unaejua vyote
 
Tunajivunia home boy Mbeya Moja. Ila inabidi aje kuoa Mwanamke wa huku huku home. Yule mswahili sio
 
Labda kwa nyegezi
Mimi sio shabiki wa yeyote kati yao, wala sio shabiki wa aina ya mziki wanaofanya. Ila nadhani humfahamu vizuri Rayvanny

Angalia uandishi wa hao wawili utagundua vany boy ni kichwa. Ni kichwa kizuri tuu. Hata management yao inatambua hilo.
 
Mzee wa nyegezi na tetema na vumbi anapiga zogo tu ..kuimba wamuachiye mumakonde
 
Uongo na rayvanny akitoka ndio utajua kuwa ideas ni yake.
Sisemi diamond hana but ray namkubali sana
Mtu wa kumshukuru Baba Lao ni mbosso.
 
Labda kwa vile wewe ni 2019 si sikushangai sana ulicho andika kimekaa ki2019...bado huyajui mengi
 
Tatizo hana nyota. Bongo waimbaji wazuri wengi tu. Ila inatakiwa use na kitu kingine extra ndio utafika mbali. Mfano marioo nyimbo zake nzuri ila ndio hivyo tu
 
Jinola Hamza unachojua we ni nyegezi tu, ndo maana hata mawazo yako yamekaa upande.... uno unaelewa maana yake? vichwa mgando msipende kuwaquote watu kama uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo... social networks place to enyoy... hahaha, niquote tena nkufurahishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…