Bila dola laki mbili 2 Feisal hatocheza Azam

Kuna vigagula zaidi ya uto kweli?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
unaandika ujinga tu,hivi mfanyakazi akiamua kuacha kazi lazima mkubaliane ama nianayetaka kuacha kazi kupitia mkataba na kuangalia kipengele cha kuvunja mkataba unakifuata,imesha
Wewe ndio mjinga usielewa,kazi za kimkataba anaetaka kuvunja mkataba pasipo mzozo wowote kwenye mkataba yan kaamua tu kuvunja,inabidi amlipe aliyeingia nae mkataba,fei hajailipa Yanga alichofanya aliwarudishia pesa waliyompa wakati anasaini (signing fee)
 
ona sasa ujinga wako Fei kawalipa Yanga kama mkataba unavyosema wewe kilaza umeshupa shingo hajafuata taaratibu,vitu viko kwenye mkataba hajakurupuka
 
ona sasa ujinga wako Fei kawalipa Yanga kama mkataba unavyosema wewe kilaza umeshupa shingo hajafuata taaratibu,vitu viko kwenye mkataba hajakurupuka
Wewe mama fei hajawalipa Yanga,alichofanya ni kurudisha signing fee aliyopewa naona huko kwenye kazi yako ya kuokota makopo imekufanya usijue lolote kuhusu mikataba,mkataba ni baina ya pande 2, Yanga walimpa pesa ili awafanyie kazi kabla ya mkataba kuisha fei ametema ndoano so kawarudishia Yanga pesa yao ni sawa alichofanya,kisheria mvunja mkataba lazima alipe kinachotakiwa sasa fei na Yanga wakae Yanga wakati washapewa signing fee yao wataje sasa gharama watakazopoteza baada ya fei kuvunja mkataba uliokua unaisha 2024,sasa wao watapiga hesabu hapo kuanzia hapo hadi 2024 fei angewaingizia kiasi gani awalipe,ndio kinachotakiwa sasa,mvunja mkataba lazima ulipe narudia tena,but yote kwa yote fei yuko kambini na Yanga toka juzi usiku na kama unaumia kanye bungo,feisal not for sale
 
Acha Kushupaza upumbavu wako,umejikaanga mwenyewe Kwa kujifanya unajua kumbe hamnazo,kwenye mkataba wowote ukiondoa Ile mkataba ya kina Mangungo ambayo hakikuwa na kipengele cha kuvunjika ila hii mkataba ya leo hilo halikwepeki,kinachowasumbua ubongo wako mdogo ni kuwa Fei hawezi kuvunja mkataba bila kukaa mezani na Yanga Sio kweli,weka Fei Vs Yanga ondoa Azam akili yako itakaa Sawa,bahati nzuri ametumia vipengele vilevile walivyokubaliana kwenye mkataba, hebu kama hujui ukae kimya,hata Neymar alivunja mkataba Kwa Aina hii na akasajiliwa PSG Kwa uhamisho huru .Shida sio Fei shinda maandishi,Yanga ni wazembe wasijifiche kwenye uongo
 
Kuna watu huwa hawajui mpira ni uwekezaji.

Wakati Feisal anajiunga Yanga hakuwa na kiwango alichonacho. Yanga iliwekeza kwenye kipaji chake, ilimpatia trainers, ilimpatia vifaa vya kutrain na ilimpatia wataalamu vyote vikikipiwa na club.

Leo mchezaji kawa mzuri mkubwa kila mtu anamtamani pasipokujua kuna watu waliwekeza. Hivyo kuondoka kwake lazima club husika ifaidike(ndio maana yavkuuza wachezaji)

Suala la Feisal kwa sababu Yanga haijavunja vipengele vya mkataba bado haina sababu ya kuuvunja lakini pia hapo kabla Feisal hakukiuka mkataba wake ila baada ya azam kumchomekea fedha imetokea fedheha.

Hadi sasa Feisal hana mkataba na Azam. Ili mkataba uwe na nguvu ni pale unaposajiliwa kwenye vyama vya soka. Kwa sasa haiwezekaniki maana bado anaomkataba nwingine uliohai hana release letter.

Busara ni wanunuzi walipe kiasi husika Feisal apewe ruhusa wanasaini mkataba maisha yaendelee. Vinginevyo kipaji chake kinaenda kufa.
 
Wewe fala neymar alinunua mkataba,fei hajakatazwa kununua,mkataba una buy clause na release clause fei awaulize Yanga wanataka sh ngapi anunue mkataba wao
 
Nyie mnakurupuka tu kwenye haya mambo, mikataba hamuijui, na hata clause zilizomo ndani yake hamjui zinafanya vipi kazi.

Kila kitu kwenye mkataba lazima kiainishwe kwenye vipengele vya mkataba husika, kama umesema mchezaji akiweka pesa kiasi fulani kwenye acc ya timu ataruhusiwa kuondoka, that's full stop, sio tena tena ulete habari ya kusema sababu, msijitungie mambo msiyoyajua ili kujifurahisha.
 
Reactions: pri
Unaenda kuaibika bwege wewe.. sijui kwanini nyie mbumbumbu huwaga mnaleta shobo kwenye mambo ambayo hamna uelewa nayo kisa tu usimba wenu
Mnaibika wenyewe kwa mikataba yenu ya hovyo nyani fc shida sana
 
We mpumbavu hamna mkataba usiovunjika,kinachotakiwa anaetaka kuvunja mkataba alipe,kwa mfano unamiliki kampuni ya ujenzi,tunaingia mkataba unijengee nyumba na nakupa mahitaji yote uliyosema kwenye mkataba,nyumba inafika kozi ya 4 unasema utoendelea na kazi,kimkataba utanirudishia pesa niliyokupa na utanilipa pesa niitakayo kwa kushindwa kwako kutekeleza tuliyokubaliana,fei akae na Yanga wamuambie wanataka walipwe sh ngapi awape yao asepe
 
endele na upumbavu wako ukweli ni kuwa Fei hajajitungia masharti ya mkataba yapo na katumia,sasa kilaza ubongo mdogo endelea kuota Fei atacheza UTO
 
endele na upumbavu wako ukweli ni kuwa Fei hajajitungia masharti ya mkataba yapo na katumia,sasa kilaza ubongo mdogo endelea kuota Fei atacheza UTO
kolo mjengeeni rage mnara akukosea kuwapa lile jina la mbu3
 
kolo mjengeeni rage mnara akukosea kuwapa lile jina la mbu3
ubongo mdogo,mambo ya Fei unaleta habari za Rage,Fei kashaacha kazi na hadaiwi na UTOPOLO mpaka hela ya usumbufu kawalipa sasa jidanganye uone kama kesi hii UTO KAMA WATASHINDA,kilichosalia ni kulamba miguu tu
 
Sheria zinasema ili uvunje mkataba lazima kuwe na sababu za msingi.
Je huyo FEI ameweka sababu za msingi?
 
unaandika ujinga tu,hivi mfanyakazi akiamua kuacha kazi lazima mkubaliane ama nianayetaka kuacha kazi kupitia mkataba na kuangalia kipengele cha kuvunja mkataba unakifuata,imesha
Masta huna akili. Kuna utaratibu wa kuvunja mikataba katika michezo, na uvunjaji wa mikataba ya VICOBA.
 
Sheria zinasema ili uvunje mkataba lazima kuwe na sababu za msingi.
Je huyo FEI ameweka sababu za msingi?
nani amekuambia ukitaka kuacha kazi lazima uweke sababu?
 
Huu utumwa Kwa wanamichezo wetu ha Utakoma hadi watakapoungana na kuanza kudai haki zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…