CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Mzee usichanganye mpira na VICOBA.nani amekuambia ukitaka kuacha kazi lazima uweke sababu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee usichanganye mpira na VICOBA.nani amekuambia ukitaka kuacha kazi lazima uweke sababu?
kwahiyo kwa akili yako ndogo wachezaji sio wafanyakazi,shida ya watu wenye ubongo mdogo kama wewe mnadhani haiwezekani kwa FEI kuvunja mkataba kwa vipengele vilivyoko kwenye mkataba,jiulize hivi FEI akisema hataki tena kucheza mpira nyinyi uto mtamfanyajeMasta huna akili. Kuna utaratibu wa kuvunja mikataba katika michezo, na uvunjaji wa mikataba ya VICOBA.