kwahiyo kwa akili yako ndogo wachezaji sio wafanyakazi,shida ya watu wenye ubongo mdogo kama wewe mnadhani haiwezekani kwa FEI kuvunja mkataba kwa vipengele vilivyoko kwenye mkataba,jiulize hivi FEI akisema hataki tena kucheza mpira nyinyi uto mtamfanyaje