Bila haya Bidada ana miaka 33 anataka nimwoe. Nimemcheck usoni yupo serious kabisa

Huu mkuki una ncha kali sana na umerushwa kunako Giza tororo Sana, Waje tusikilizie kelele kwa utakao mpata. Hahaha
 
Sasa Mkuu kama kwa kipindi chote hicho hakupata wa kumuoa afanyeje sasa zaidi ya kuwa na imani ipo siku itatokea mbali na umri kusonga.

Au Mkuu una maoni gani na wenye hiyo age hivyo wajikatie tamaa kabisa ya kutokuolewa ama? Hebu tusaidiane kwa hili.
 
Gudume mwenyewe ana bonge la kijiMbamia katueleza majuzi. Itakuwa hataki wanawake wanaojielewa, anataka alompita sana umri ili ampelekeshe kama mzazi Wake. Ova!
 
Ndiyo muda mwingine mnadanganywa mtu miaka 34 anakuambia ana 26 na wadada wa siku hizi wanazingatia mlo..gym kwa sana kutengeneza body utomjua kama age imeenda.

Kufika miaka 30 bila kuolewa sio dhambi wala haimaniishi kama katumika sana....
 
Gudume mwenyewe ana bonge la kijiMbamia katueleza majuzi. Itakuwa hataki wanawake wanaojielewa, anataka alompita sana umri ili ampelekeshe kama mzazi Wake. Ova!
Hahahahaa. Ili nali neno Mkuu.

Anataka vitoto visivyojua Mipini wala vibamia. Hahahahaaa.
 
Mbona hta wewe umetumika sana?40years??labda uwe tajiri ila vinginevyo wewe hufai. Swali. Je kwanini wewe umekaa mda mrefu hivyo hujaoa??wewe co muoaji......
Sema wewe mkuu. Ametumika mno kuliko huyo dada.
 
GuJike gunakuhusu wewe, maana sasa umezidi kila siku wewe na wanawakeeee, wanawakeee, Tafuta GuJike kelele zipungue.
 
Ndiyo muda mwingine mnadanganywa mtu miaka 34 anakuambia ana 26 na wadada wa siku hizi wanazingatia mlo..gym kwa sana kutengeneza body utomjua kama age imeenda.

Kufika miaka 30 bila kuolewa sio dhambi wala haimaniishi kama katumika sana....
Hahahaaa. Umesema kweli ujue na hii inafanya baadhi ya wanawake hawakui yaani miaka yao inacheza hapo hapo ilimradi wapate kitu fulani kwa sababu ya imani zao potofu.Na mwisho wa siku hawakawii kusema mara ooh ngozi ngumu mara hivi kumbe wameyataka wenyewe.

Mi najionea hata mwanamke akiwa na miaka 35 na kuendelea kama sifa za kuolewa anazo sioni kama kuna shida akipata mwenza.
 
Wewe ujaona siku hizi kila mdada mjini yupo busy na diet na mazoezi...

Yaani mimi huwa nacheka mdada unamjua huyu umri ni mkubwa ila anakuambia nina 26 unabaki unacheka yote haya yanatokana na hawa wanaowanyanyapaa!!

Kwanza mdada mkubwa ndiyo mzuri anajua nini maana ya maisha.....atakaa kwenye ndoa vizuri sababu kachelewa kuipata....
 
Hahahaaa. Bora uwafungue macho na msikio ili wapate kujua ndoa haina mwenyewe wala umri fulani yeyote anaweza olewa cha muhimu anakidhi vigezo vya kuwa mke mwema.

Ila hapo pa mazoezi na diet pamechachamaa aisee my dear na yote hayo sababu kuu ni hao wanaume wenye mawazo kama ya kina GuDume. Hahahahaaa.
 
Mkuu huyo dada ndo CV yake au? Huenda ni bikira kakutunzia wewe.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimeishia kusoma uliposema UKIONA MDADA HAJAOLEWA NA UMRI UMEENDA, NI KWA KUWA WENGI WALIMUONA HAFAI. Mchango wangu, hao wengi walimuona hafai ili mwisho kwa kuwa anakufaa wewe, wewe ndiye umuoe. Wangemuona anafaa, usingempata.
 
wacha nionekane mbaguzi,mjinga,mshamba n.k SIOI MIMI MSICHANA WA MIAKA 33. ujana wake kala wapi uzee aje kumalizia kwangu? najua mpo humu na mmechukia na kuona nawaharibia soko. nawaasa vijana msidanganyike kabisa. unataka uoe msichana yupo mida ya jioni? saa 12 saa moja jioni? hapana. nyie tukaneni tu ila huyu dada hakuolewa sababu alikuwa anapenda sana kula bata.anasema alikuwa napenda kutumia ujana sasa umri ndo umefika. hakuwa akitaka kubanwa banwa. so watu walikuwa wanamgonga wanaenda kuoa kwingine. leo hii mimi ndo nichukue moja kwa moja??????????????????????????????????????? aaaahh.. wapi. huo utakuwa unyanyasi mkubwa kwangu. wakati wapo watoto wadogo tu ambao umri wao si haba bado unaita. sishawishiki....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…