Bila haya Bidada ana miaka 33 anataka nimwoe. Nimemcheck usoni yupo serious kabisa

Bila haya Bidada ana miaka 33 anataka nimwoe. Nimemcheck usoni yupo serious kabisa

wewe emmyta mimi kwa miaka 40 bado nadai sana we angalia hata kwenye vitabu vya dini umri wa wanaume na wanawake kuoana. mi bado sana dada usinizeeshe kabisa.
Ujue muda wote najiuliza kulikoni ninavyomtibua Kaka GuDume lakini hata kunijibu hanijibu nikawa nina maswali meengi kichwani mwangu.

Kumbe upo kaka. Nakubali unachokisema we bado ni kijana. Hahahahaaa.
 
Umeonaeee kwa sababu ye mwenyewe Age go halafu bado anajifanya anamachaguzi yasiyo hata na mashiko.
simuelewi sababu hata post yake ameandika kichuki ni kama anamsimanga vile...eti miaka yote alikua wapi...wakat kila siku unalala nae.....mi kanikera dadaangu aliolewa na miaka35 na alikua mchamungu mzuri sana
 
Sasa Mkuu kama kwa kipindi chote hicho hakupata wa kumuoa afanyeje sasa zaidi ya kuwa na imani ipo siku itatokea mbali na umri kusonga.

Au Mkuu una maoni gani na wenye hiyo age hivyo wajikatie tamaa kabisa ya kutokuolewa ama? Hebu tusaidiane kwa hili.
mm hua naamin hadi msichana anafikisha hio age basi wapo waliojarbu waliomdanganya kweli sikatai pia waliokua na nia ya kumuoa yy mwenyewe akaichezea au waliokua na nia ya kumuoa kwa kua alikua anakula ujana basi hakuwapa nafasi

kuna vidada vinajeuri mm nna dada yangu undugu wa mbali mbali yy kaachana na bwana ake kisa mshikaji sio kijana(sharobalo) mchizi ni mfanyakaz na alimpenda kweli hata show ndogo ndogo alikua anasimamia kama simu hivi sema huyo dada sasa analalamika akimuita waende kkoo jamaa anakuja na sendo na suruali ya kitambaa

uzuri mm na jamaa tuna mahusiano mazuri hata baada ya wao kuachana na alikua amepanga future nzuri sana na dogo,,sema kwakua hua mna akili za kushikiwa na rafiki yake wameachana yuko anatoka na vijana wenzake wa chuoni actually siez kumforce kua na jamaa bt mm hua nabaki namsikitikia tu
sasa huyu mtu nae asipo olewa akiwa anasemwa atasema jamii inamuonea
 
I think its not fair
Age does not matter kwenye haya mambo
cha msingi maelewano na upendo wa kweli.Mimi ntaoa ninayempenda hata kama kanizidi 10 years
Mwanamke mkubwa ana mazuri yake mengi sana kumuoa na kuishi naye lkn kuna changamoto nyingi za kuishi na mtu kama huyo. Kwanza tambua inawezekana kabisa anakukomalia umuoe si kwasababu anakupenda sana bali ni kwa sababu umri unamtupa mkono hivyo yoyote atakayepatikana yy yupo tayari. Kumuoa mtu wa aina hii kuna taabu nyingi sana, ikiwemo kukulazimisha mzae kwa mfululizo bila kufuata uzazi wa mpango kwasababu muda wa kuzaa umemtupa mkono. Mwisho wa siku unakuwa na watoto wamefuatana utazani mapacha na gharama za maisha zilivyo juu kama huna mpunga sijui utafanyeje kusomesha mapacha hao waliopishana miezi. Kwa ujumla kuoa mwanamke mkubwa kuna changamoto ambazo kabla hujamuoa huwezi kuona.
Wanaume tuna advantage kwakuwa hata miaka 65 tunaweza kumpa mke mimba wakati kwa mwanamke jambo hilo ni muujiza mkubwa
 
Aisee wewe huna toafauti na huyo dada! Ushamtia dada wawatu hadi umechoka kuoa hutaki,,,, wewe huna tofauti la Ruge mtahaba mule mule tu huna lolotee
 
Mwanamke mkubwa ana mazuri yake mengi sana kumuoa na kuishi naye lkn kuna changamoto nyingi za kuishi na mtu kama huyo. Kwanza tambua inawezekana kabisa anakukomalia umuoe si kwasababu anakupenda sana bali ni kwa sababu umri unamtupa mkono hivyo yoyote atakayepatikana yy yupo tayari. Kumuoa mtu wa aina hii kuna taabu nyingi sana, ikiwemo kukulazimisha mzae kwa mfululizo bila kufuata uzazi wa mpango kwasababu muda wa kuzaa umemtupa mkono. Mwisho wa siku unakuwa na watoto wamefuatana utazani mapacha na gharama za maisha zilivyo juu kama huna mpunga sijui utafanyeje kusomesha mapacha hao waliopishana miezi. Kwa ujumla kuoa mwanamke mkubwa kuna changamoto ambazo kabla hujamuoa huwezi kuona.
changamoto ni sehemu ya maisha jombaa
in life changamoto ziko kila sehemu
Ni jukumu lako kupambana nazo
if you are strong enough..utatoboa..la sivyo yatakushinda tu..Bila kujali una ndoa na mtu yupi
cc Mzigua90
 
Ukitaka kujua magagula ya humu yalivo mengi ..tizama comments tu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji90] [emoji90] [emoji90]
 
simuelewi sababu hata post yake ameandika kichuki ni kama anamsimanga vile...eti miaka yote alikua wapi...wakat kila siku unalala nae.....mi kanikera dadaangu aliolewa na miaka35 na alikua mchamungu mzuri sana
Umeona sasa! Ndio sababu Mkuu mie kwenye Post yangu ya kwanza kuchangia kwenye huu uzi nilisema sio kila mwanamke ambaye umri umekwenda basi katumika kiasi cha kwamba hana thamani kabisa ya kuwa mke..

Wanawake walio wengi ambao hawana ndoa wengi wao ni wale ambao hawakupata wapenzi walio sahihi na hiyo mara nyingi ndio huwa ni sababu sasa watu wanapowaona eti wanasema hawafai kuolewa kisa umri umekwenda kitu ambacho huwa najiuliza mara tatu tatu pasi kupata majibu.

Inatakiwa wanaume mbadilishane hizi fikra potofu aiseee la sivyo baadhi yenu watakuwa wanaambulia magarasa kila siku.
 
Haujielewi kabisa, wee mwenyewe umeshazeeka na hao wa 24 yrs watakukimbia tuu
 
changamoto ni sehemu ya maisha jombaa
in life changamoto ziko kila sehemu
Ni jukumu lako kupambana nazo
if you are strong enough..utatoboa..la sivyo yatakushinda tu..Bila kujali una ndoa na mtu yupi
cc Mzigua90
Nakubaliana nawe lkn zisiwe changamoto za kujitakia. In my own experience I know the pros and cons of marrying older women
 
Muwage na aibu kidogo sometimes munapokuwa munawananga wanawake.

Na muanzage kuangalia kuanzia majumbani kwenu. Mashangazi zenu wanazeekea kwenu na mitoto kibao baba tofauti.

Achageni wanawake single wapumue.
 
Nakubaliana nawe lkn zisiwe changamoto za kujitakia. In my own experience I know the pros and cons of marrying older women
man..these issues are so subjective
ujue its not about older or younger woman
Kuna watu wameoa older women na wana furahia ndoa zao
Kuna watu wameoa wanawake wadogo kwao na wanajutia
kiukweli cha msingi hapo ni Personality ya Mtu.
Umetoa sababu kuwa ooh...utalazimishwa kuzaa mfululizo...gosh..kwani nyie mlikuwa mnataka watoto wangapi? si mnaelewana? je kama ni mmoja?
Brother..sikatai kuwa ume experience changamoto..lakini nataka uelewe kuwa changamoto hizo zilikuwa katika personal level..hata hazistahili generalization.
Na hata hivyo tangu lini mwanaume ukakimbia changamoto?
 
Back
Top Bottom